Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Alikuwa mweka hazina mkuu wa ... Na .....Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.
Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.
Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
Kipilimba kipindi yeye na kikosi chake kilichokuwa TISS kikiratibu utekaji wa wakosoaji mitandaoni.Hayumo.
Jana JK alikuwa kisarawe!
Yasemekana huyu ndio kilikuwa kihenge cha kuhifadhia hela zote za unyang'anyi alizopora SabayaNaona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.
Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.
Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
Watakwisha wote kudadeki !Kipilimba kipindi yeye na kikosi chake kilichokuwa TISS kikiratibu utekaji wa wakosoaji mitandaoni.
[emoji117]Tunajulishwa kuwa OMBI LENU TUKUFU limefika mezani kwa KMK Katanda ili Rais atoe kibali cha kumkamata na kumhoji JOKATE MWANGELO(pichani) - kwa tuhuma za kuhusika kuhifadhi pesa https://t.co/2s7E5Bqt61
Sent using Jamii Forums mobile app
Ombi la kumkamata mtuhumiwa kwa mahojiano kibali kinatolewa na Rais?Kipilimba kipindi yeye na kikosi chake kilichokuwa TISS kikiratibu utekaji wa wakosoaji mitandaoni.
[emoji117]Tunajulishwa kuwa OMBI LENU TUKUFU limefika mezani kwa KMK Katanda ili Rais atoe kibali cha kumkamata na kumhoji JOKATE MWANGELO(pichani) - kwa tuhuma za kuhusika kuhifadhi pesa https://t.co/2s7E5Bqt61
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaOmbi la kumkamata mtuhumiwa kwa mahojiano kibali kinatolewa na Rais?
Kuna wakati tusimwamini sana bwana yuleNaona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.
Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.
Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
Kama huna uhakika uwe unaweka akiba ya maneno, kwa taarifa zaidi Nassari naye yumo kwenye genge la sabaya.Hayumo.
Jana JK alikuwa kisarawe!
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Uwe unaweka akiba ya maneno Nassari naye yumo kwenye genge la sabaya.
uko sahihiKama huna uhakika uwe unaweka akiba ya maneno, kwa taarifa zaidi Nassari naye yumo kwenye genge la sabaya.
Sisi wenye pesa tutoe ngapi ?[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]View attachment 1809638
Sent using Jamii Forums mobile app