Jokate nae yumo?

Jokate nae yumo?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.

Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.

Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
Screenshot_20210606-044130.png
 
Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.

Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.

Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
Alikuwa mweka hazina mkuu wa ... Na .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayumo.

Jana JK alikuwa kisarawe!
Kipilimba kipindi yeye na kikosi chake kilichokuwa TISS kikiratibu utekaji wa wakosoaji mitandaoni.
[emoji117]Tunajulishwa kuwa OMBI LENU TUKUFU limefika mezani kwa KMK Katanda ili Rais atoe kibali cha kumkamata na kumhoji JOKATE MWANGELO(pichani) - kwa tuhuma za kuhusika kuhifadhi pesa https://t.co/2s7E5Bqt61

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.

Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.

Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
Yasemekana huyu ndio kilikuwa kihenge cha kuhifadhia hela zote za unyang'anyi alizopora Sabaya
 
Kipilimba kipindi yeye na kikosi chake kilichokuwa TISS kikiratibu utekaji wa wakosoaji mitandaoni.
[emoji117]Tunajulishwa kuwa OMBI LENU TUKUFU limefika mezani kwa KMK Katanda ili Rais atoe kibali cha kumkamata na kumhoji JOKATE MWANGELO(pichani) - kwa tuhuma za kuhusika kuhifadhi pesa https://t.co/2s7E5Bqt61

Sent using Jamii Forums mobile app
Watakwisha wote kudadeki !
 
Ombi la kumkamata mtuhumiwa kwa mahojiano kibali kinatolewa na Rais?
 
Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.

Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.

Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
Kuna wakati tusimwamini sana bwana yule
 
Back
Top Bottom