Jokate nae yumo?

Jokate nae yumo?

Watakwisha wote kudadeki !
Unajua huwa nashangaa sana akili za baadhi ya watu kama nyie 😀😀
Labda nikuulize swali jepesi watamalizwa na nani? Mama samia? Mama samia ni chadema? Au sababu wamemtoa sabaya kafara kuwafurahisha mioyo na nyie mnaelekea kibra? Yani hamko smart kabisa. None of you can decode the political game. Sahivi chadema wote wanashangilia as if wamechukuwa nchi 😂😂😂
 
Unajua huwa nashangaa sana akili za baadhi ya watu kama nyie [emoji3][emoji3]
Labda nikuulize swali jepesi watamalizwa na nani? Mama samia? Mama samia ni chadema? Au sababu wamemtoa sabaya kafara kuwafurahisha mioyo na nyie mnaelekea kibra? Yani hamko smart kabisa. None of you can decode the political game. Sahivi chadema wote wanashangilia as if wamechukuwa nchi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi hii ilikuwa ya watu wachache waliojifanya wazalendo kumbe mashetani wakubwa, wakifanya Mambo maovu gizani wakiamini Mungu hawaoni.
Sasa hivi yanapofichuka Kila mtanzania anafurahi na kushangiria na chadema nao ni watanzani.

KWANI CCM WANASEMAJE?
 
Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.

Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.

Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
View attachment 1809814
Kuna baadhi ya Makosa ni ya TAKUKURU ,mengine ya DCI hao watu wachunguzwe, wahojiwe tena DPP awapeleke mahakamani haraka.
Makonda na Sabaya inatakiwa waende ktk mahakama ya Uhalifu wa Kivita huko za HAGUE.Jokate yeye tumalizane nae pale Kisutu.
 
Kama ni kweli huyo msomi alishindwa vipi kuuliza hizo pesa zinatoka wapi? Na kwanini ziwekwe kwake badala ya kupelekwa bank? Kuhifadhi mali ya wizi /unyang’anyi ni KOSA la kisheria. Sijui zimekutwa bilioni ngapi kwake?
Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja.

Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia.

Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
View attachment 1809814
 
Chadema bwana kwahiyo mnataka wafungwe wote wale vipenzi vya mwendazake?
 
Ombi la kumkamata mtuhumiwa kwa mahojiano kibali kinatolewa na Rais?
Unajua mamlaka ya huyo mtuhumiwa? Mbona upo sana JF lakini haijakusaidia kuelimika?
Unajua kwa nini? Unaandika sana nonsense badala ya kutumia muda mwingi kujisomea au kuuliza mambo ili uelimike.
Unadhani kuokota habari za magazetini na mitandaoni na kukimbiza humu utaonekana mjanja, pole.
 
Wewe ndio mbwiga kabisa hapo Bavicha.

Yaani DC afanye jinai halafu Rais ndio anatoa kibali akamatwe au asikamatwe?

Wapuuzi kama nyie ndio mnasababisha Mwamba astaafu!
 
Back
Top Bottom