Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini kumbe hujakimbukwa? Kwani na wewe una kidoti?Ndo kusema .... kapata uteuzi?
Hebu tupiamo hizo picha za bosiledi wa Uganda meku ili kue na msisitizo kidogoAkae tu mradi awe alone
Mwenzie bosiledi wa uganda picha zake za utupu akiwa anajikoboa zimeliki
Kukaa uchi kumemlipa sasa..![]()
Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.
"Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa" alisema Jokate kwa kifupi.
Chanzo: GPL
utafungwa ww anakuchefua DC wakoYani kama kuna mabinti wamewahi kunichefua huyu ni namba moja. Poor Jokate.
Soon utasikia yule Sister Fey amekuwa mkuu wa mkoa.inasikitisha sana SIRIKALI inayopinga momonyoko wa maadili kuwateua WAKAA UCHI kama hawa kuwa wakuu wa wilaya.. picha mbaya sana kwa jamii
Kuna kila dalili za kuhamasisha vijana waingie katika fani ya ukaaji uchi ili wapate kuonekana na kupewa nafasi kama hizo.inasikitisha sana SIRIKALI inayopinga momonyoko wa maadili kuwateua WAKAA UCHI kama hawa kuwa wakuu wa wilaya.. picha mbaya sana kwa jamii