Jokate: Nasikia raha kukaa Utupu nikiwa Chumbani

Jokate: Nasikia raha kukaa Utupu nikiwa Chumbani

Mnavyohangaika hivi ni ili atenguliwe ama?

Wabongo kwa vikorosho tuna phd.
 
Anajua wajibu wake, unataka avae miguo akati yupo na mpenzi wake ili iweje
 
Naona raha ,naona raha mimi kupendwa sorry kuteuliwa na mkuu.
 
jjj.JPG

Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi

Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka
huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.

"Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa" alisema Jokate kwa kifupi.

Chanzo: GPL
Kukaa uchi kumemlipa sasa..
 
inasikitisha sana SIRIKALI inayopinga momonyoko wa maadili kuwateua WAKAA UCHI kama hawa kuwa wakuu wa wilaya.. picha mbaya sana kwa jamii
Kuna kila dalili za kuhamasisha vijana waingie katika fani ya ukaaji uchi ili wapate kuonekana na kupewa nafasi kama hizo.
 
Back
Top Bottom