Uyo mwanaume nae ni umoja wa kina mama?Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji na Kuimarisha Demokrasia.
Ndugu. Jokate amesema kulingana na kazi kubwa iliyoifanya Rais Samia hakika amepitiliza kiwango na kuwataka Wanawake wote kumshukuru na kuhakikisha wanamtendea haki kwa kumpa kura nyingi za kishindo ifikapo muda rasmi wa uchaguzi.
View attachment 2945029View attachment 2945030
🗓️ 26 Machi, 2024
Mhh ni hiihii Tanzania ameimaliza .... ambayo bado watoto wanakaa chini ya mti, Maji hakuna, Barabara na umeme kizungumkuti au ni apo Daslamu tu.Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji na Kuimarisha Demokrasia.