Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

Wanawake wakiamua lao jua ndio basi Tena mama kama anamsukuma Mlevi 2025...... Atapata kura Zaidi ya asilimia 96
 
Mfumo wetu wa elimu ubadilishwe ili utengeneze viongozi wenye faida tofauti na Hawa wa sasa ambao Kila kitu wanasifi rais wakati kiuhalisia hakuna Cha maana alichofanya.ikiwezekana tuige mfumo wa elimu wa Kenya au uganda.huko hakuna upuuzi wa kusifu hata pasiposifika
Katiba mbovu inaleta yote haya. Katiba ya Tz inatengeneza Miungu watu. Na machawa+
 
Back
Top Bottom