Jokate, seriously?

You are less informed! You don't know a thing about branding dada angu.
Hakuna aliyesema asiweke jina lake,kwa mfano,umesema P.Diddy jamaa alikuwa anatumia Sean John,how is that the same na kuweka lisura lote kwenye bidhaa?unadhani angetumia kidoti kama jina au logo watu wangesema?sio kiasi hiki,lisura likubwa kwenye ndala?
Wanavaa wale walioingia mjini leo na lorry la vitunguu au viazi!

All that i want to say is Jokate is better than this! Hapa kajishusha sana,sijui ni kakurupuka au target yake ya soko ni kwa washamba,sijui kwa kweli ila uhakika ni kuwa hii ni idea ya mtu mmoja dictator,either yeye au manager wake kama anaye,watu zaidi ya wawili hawawezi kuja na idea mbovu hivi ya branding
 
una wivu wa kijinga, jokate ni bonge la mbunifu. ndala zake ziko poa. tuambie wewe unatengeneza bidhaa gani?
 
una wivu wa kijinga, jokate ni bonge la mbunifu. ndala zake ziko poa. tuambie wewe unatengeneza bidhaa gani?

Nina mpango wa kuja na bidhaa kama chakula cha kurutubisha akili yako iwaze vyema! Nataka nitibu kilema cha akili yako!
 
How awful do you people find this idea?
Daah! Picha kwenye ndala?

Bongo "artistic license" kueleweka vigumu sana.

She is not running for public office now, is she?

She has a right to be tacky, it's not a crime.

Mbona bungeni mwenu wabunge wanakanyaga zulia lenye rangi za bendera ya taifa?
 
Nina mpango wa kuja na bidhaa kama chakula cha kurutubisha akili yako iwaze vyema! Nataka nitibu kilema cha akili yako!

we kenge jokate kakuzidi akili mara mia,, we ni kiazi tu mwenye wivu kwa mafanikio ya jokate,,, fanya kazi acha kumtegemea dada yako akulishe ..kubwa zima akili kisoda
 
Bongo "artistic license" kueleweka vigumu sana.

She is not running for public office now, is she?

She has a right to be tacky, it's not a crime.

Mbona bungeni mwenu wabunge wanakanyaga zulia lenye rangi za bendera ya taifa?

Regardless!
 
we kenge jokate kakuzidi akili mara mia,, we ni kiazi tu mwenye wivu kwa mafanikio ya jokate,,, fanya kazi acha kumtegemea dada yako akulishe ..kubwa zima akili kisoda

Sina dada!
Tool gani umetumia ya kupima akili yangu na Jokate?
Nitakosea kusema uropokaji must be one of your hobbies?
 
Just because you don't like something, that does not give you a right to infringe on another's perfectly legal freedom of expression.
 
Sina dada!
Tool gani umetumia ya kupima akili yangu na Jokate?
Nitakosea kusema uropokaji must be one of your hobbies?

kwa post zako tu unaonekana wewe ni taahira... huna akili hata moja.. una wivuna mafanikio ya jokati... hauwezi kumfikia hata robo...acha uduanzi
 
kwa post zako tu unaonekana wewe ni taahira... huna akili hata moja.. una wivuna mafanikio ya jokati... hauwezi kumfikia hata robo...acha uduanzi

Sawa nimekusikia,nitaacha uduanzi(whatever that means)
Siwezi kumfikia!
Nimekusikia!
 
Hv tatizo ni nembo,picha yake au tatizo ni husda wa maendeleo wa kukwamishana,lakini zingekuja ndala zina picha ya Nick minaji au J-lo tungegombania kununua ila kwakuwa ni Jokate(from africa) lazima iwe nikitu cha ajabu,waafrika wengi,watanzania wengi wanakosa sapoti ndo mana watu wanaishia njiani na hata wengine kujaribu hawathubutu.by the way amefanya kazi NZURI
 
Bongo "artistic license" kueleweka vigumu sana.

She is not running for public office now, is she?

She has a right to be tacky, it's not a crime.

Mbona bungeni mwenu wabunge wanakanyaga zulia lenye rangi za bendera ya taifa?

bora we umesema maana wengine hapa tukijibu tutaanzisha tu malumbano yasiyo na msingi.. enzi zile zilitamba sana tshirts za akina nelly na eminem n.k lakini watu hawakusema kwann wanatumia picha zao na wasitumie name zao hivi mtu akisikia brand ni jina tu hata picha inaweza wakilisha brand ya mtu au kitu mbona bendera za nchi zina picha tu ila ni identity tosha. ila watu wanaonaajabu yy kuweka picha as long as kaamua mwenyewe aweke pcha yake.
 
Habari nzima ya kuanza kumkosoa mtu kwa kitu alichokifanya kwa utashi wake, kisichovunja sheria, ni ishara ya kukosa shughuli.

Kwani huyo Jokate kawalazimisha watu wanunue hizo ndala?

Kama ni mbaya zitapotea naturally kwa kukosa wavaaji.

What's the big fuss about?
 
as long as hao walioingia mjini na malorry ya vitunguu na mafuriko wananunua vya kutosha na ukweli hao ndio wanatumia sana ndala kuliko wengine it will be better for her, nyie mliotungiwa mimba na kuzaliwa hapahapa town si mbaya mkaendelea kutonunua maana wengi wenu si watumizi sana wa ndala.
 
Naona watu wanalushiana vijembe na matusi tu.
 
Naona watu wanalushiana vijembe na matusi tu.
Wanamkosea heshima dada yetu awe malaya au anything but she amefanya kitu kizur na cha kuigwa hayo mengine ni chuk tu za watu huwezi rizisha kila mtu in this life
 
Wanamkosea heshima dada yetu awe malaya au anything but she amefanya kitu kizur na cha kuigwa hayo mengine ni chuk tu za watu huwezi rizisha kila mtu in this life

Ili tz iweze kupiga, haihitaji watu wenye mawazo mafupi kama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…