agristeph
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 214
- 184
- Thread starter
- #41
binamu nakuunga mkono paragraph ya mwish rohombaya wabongo zimezidi tunasubiri wawe mateja ili tuwacheke..
ila la kuweka jina na kutumia sura sio mbaya coz siyo wa kwanza kufanya hivyo hata Rihana, beyonce,lady gaga, wanauza perfume za brand name zao pia Pdidy kauza sana nguo kwa brand yake, Dillish nae wa BBA naye anauza lipstick zake kwa jina lake inasaidia kwa mashabiki kupay attention kwa bidhaa husika.
You are less informed! You don't know a thing about branding dada angu.
Hakuna aliyesema asiweke jina lake,kwa mfano,umesema P.Diddy jamaa alikuwa anatumia Sean John,how is that the same na kuweka lisura lote kwenye bidhaa?unadhani angetumia kidoti kama jina au logo watu wangesema?sio kiasi hiki,lisura likubwa kwenye ndala?
Wanavaa wale walioingia mjini leo na lorry la vitunguu au viazi!
All that i want to say is Jokate is better than this! Hapa kajishusha sana,sijui ni kakurupuka au target yake ya soko ni kwa washamba,sijui kwa kweli ila uhakika ni kuwa hii ni idea ya mtu mmoja dictator,either yeye au manager wake kama anaye,watu zaidi ya wawili hawawezi kuja na idea mbovu hivi ya branding