Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Hahaaaa ushauri wako mzuri ila hapo pa bashite umenichekesha sana
 
Ok.
Baada ya kupitia maelezo pamoja na comments zote za wadau, Mimi najitolea kumuokoa Jojo kwenye janga hilo. Mwenye namba yake anitumie PM, nawahakikishia hatajuta na hili halitajirudia.
 
Jojo alikua na bwana ake wakati yupo secondary walipendana sana......sema mchiz siyo mauzoo akamtosa mchiz sahv kawa nusu chiz....laana hyoo
Alivopata umaarufu akawehuka Ku date na kila mwanaume, tena jamaa alimpenda kweli
 
Jojo alikua na bwana ake wakati yupo secondary walipendana sana......sema mchiz siyo mauzoo akamtosa mchiz sahv kawa nusu chiz....laana hyoo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa hapa cjui n laaana
Ya mchiz inamsumbua
Au kiba,ndo amezd kwa
Makosa
 
Unaonekana unataka kupewa tu ha ha ha kwa kiba utasubiri,,wote kila Mara wanakataana hadharan kua hawana uhusiano sasa we unataka kutuambia nn? Kutoa ni moyo tu wala sio mapenz,,,

Kwan wema anakazi gan hapa mjini? Mi kwangu jokate ndio mpambanaji wa life na kaz zake zinaonekana tofauti na hao uliowataja hapo....
 
Alitakiwa asoma alama za nyakati, elimu yake haikumsaidia kuona kuwa hakukuwa na mwanga at the end of the tunnel?
Jojo inaonyesha hashauriki huyu ndo matokeo yake kawa mama huruma na sehemu ya kusuuziwa rungu na kudapiwa.
 
Jojo inaonyesha hashauriki huyu ndo matokeo yake kawa mama huruma na sehemu ya kusuuziwa rungu na kudapiwa.
Inakuwa hivi; umependa 80% wakati mwenzako yuko kwenye 40%, akikuudhi unafikiri ni bahati mbaya tu na unakumbuka ile raha ya faragha basi unaona ngoja nilione kama halijatoke, kumbe mwenzako ndiyo anazidi kukuona zuzu.
 
Kajipeleka mwenyewe natamaaaa zake....et ooohh bwana angu wa kwanza hashimu thabiti nyoooooooooo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Acha aweke heshima
 
Naomba uniwekee interview yoyote ile ya jojo ambayo yeye mwenyewe amesema kuwa anauhusiano na Ally kiba...ukipata hiyo interview nakutumia muamala tigo pesa sasa hivi...usimzungumzie sana kiba kikubwa nilicho kinotes kwenye mapenzi yao Jojo ametakiwa kuadopt tabia za usiri za King... Tabia za king ni hapendi personal matters kuziweka public ndio maana mnaona kama vile wanazinguwa maana kila mtu anamkataa mwenzie lakini ndio maisha yao waliyoamuwa kuishi mkuu
 
Mimi ukinikana mbele za watu nitakukana siku ya ndoa. He madam Mwajuma umemkubali G awe Mme wako blablaaa jibu no NO Mara tatu kosha navia shela nasema kula mchemsho restaurant.
 
Inakuwa hivi; umependa 80% wakati mwenzako yuko kwenye 40%, akikuudhi unafikiri ni bahati mbaya tu na unakumbuka ile raha ya faragha basi unaona ngoja nilione kama halijatoke, kumbe mwenzako ndiyo anazidi kukuona zuzu.
Hawa wasanii wamemtia gundu JoJo ka karogwa vile. Jojo enzi za Chuo alikuwa classy namshangaa sikuhizi
 
Alitakiwa asoma alama za nyakati, elimu yake haikumsaidia kuona kuwa hakukuwa na mwanga at the end of the tunnel?
Mapenz hayanaga elim
Hata wenye degree wanalialia
Kama hawa kisa mapenz tu

Unaambiwa penda unapopendwa
Ukibug tu n hivo jojo kwa kiba
N kama amewekewa limbwata

ukiangalia sana wenye hawana
Elim ndo wanainjoy true love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…