Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

Watu hawajui maana ya privacy kabisa
Tena bila hata aibu wanalalamika kiba kutowaonesha wanawake aliozaa naona
Very stupid arguments akuoneshe we nani?
Kiba is private guy thats why is highly respected sasa hao wazee wa show offwalimsaidia nn jokate si nao walipita au?
Umeongea point hadi umenifanya nikawaza nje ya box.
Jojo kama mwanamke atakuwa na matatizo...nahisi 'mambo' hayajui yule.
 
Ila msisahau maandiko. Wakati Adam na Eva wanafurushwa bustanini Adam alipewa adhabu moja bsada ya Mungu kuilaani ardhi..yeye mwanamke alipewa adhabu mbili...MOJA ya kuzaa kwa uchungu na ya PILI ni ile ya tamaa ya mwanamke kuwa juu ya mwanaume na kutawaliwa.
Ndo kusema Jojo na Kiba wanayaishi MAANDIKO kwa ufasaha kabisa!!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Inakuwa hivi; umependa 80% wakati mwenzako yuko kwenye 40%, akikuudhi unafikiri ni bahati mbaya tu na unakumbuka ile raha ya faragha basi unaona ngoja nilione kama halijatoke, kumbe mwenzako ndiyo anazidi kukuona zuzu.
Hapa ndio naamini ile dhana ya kwamba women love to chase. Hapo Ali Kiba akisema aanze kuwa romantic kumbebisha tu huyo mwanamke haitachukua round ataonekana zuzu siku si nyingi na hatimae atapigwaa chini kwa mbwembwe sana na huyo bibie jojo!
Aendelee kukomaa tu na mwendo huo huo, playing hard to get huku unapiga kojo la uhakika tu. Ukimpa uhakika sana demu anakuona fala ghafla.
 
Ana masikio hasikii, ana macho haoni.Aachane na huyo Kiba, mchumba asiyekujali na anamdhalilisha kila Mara tens mbele za watu.Jockate ajuwe anajiabisha sana. Hata kama ni upofu wa mapenzi kwamba haoni, ajuwe anaaibisha Hata wszazi wake pamoja na ndugu zake. Hamna ndoa hapo.

Ndio utashangaa maajabu ya kiumbe kinachoitwa mwanamke, hapo atagandaa weee ingawa ananyanyaswa...
Ila wakipendwaga sasa nyodo kwa sana na lastly wanatupigaga chini kwa dharau. Braza Kiba endelea kupiga kojo tu na kufanya ishu zingine, hamna mda wa kubembelezana awamu hii! Kama vipi apige chini ingawa najua hana jeuri hio kwa sasa.
 
Huyu bibie anapenda watu maarufu, hata wakati yupo st Anthony alikuwa anawapenda vipanga yaani wale waliokuwa wana faulu sana Na wanajulikana shule nzima.

She is either 29 Au 30, enzi zake wakati yupo Loyola akiwa head girl alikuwa hashikiki, mtakatifu Na mwanakwaya. Alivyo sasa huwezi amini.

Wanaume tulivyo huwezi kumuoa mwanamke ambaye amesha toka Na rival wako so what Kiba did was expected
 
Ninachokiona Mimi..Yale maneno ya Diamond kudai JoJo makombo ndio chanzo cha kiba kumtosa baada ya kumpata 7...
Sema maneno hayo yanauma japo utajifaragua.....uoe demu afu jamaa lije liseme mke wako mm kwangu makombo tu nimepiga sana.....inauma
 
Bwana apewe sifa.

Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na wote ndo tunaelekea huko. Jokate is 28, 29 au 30 kamil kwa kuangalia duru za miaka aliosoma.

Jokate is my role model, na Wema, na Kylyn. Why specifically ni watu wajanja wajanja mjini, kama mimi wanapenda mambo mazuri afu hawataki kifanya kazi. Just like me, they love success, living larger than life, making history ila they are not ready to toil for the sucess. Hawaishi kwa katibaaaa za ma bibi. Kwamba maisha na kuajiriwa NSSF, Kulipwa vilaki hivo na kuzeeka. They break the rules.

Jojo is not a good business lady but is ambitious. Kwa capital aliopewa na wachina, alitakiwa awe next only to Bakhresa, GSM, METL na Manji. Tatizo hakuanza ku hustle chini, ana bahati na maisha akipata wazo anapata fundings.

Mchango wa Jojo kwa kiba ni mkubwa sanaaaa, tena sanaa. Jojo is dream of many men hapa Tz. Watu kibao wanataka kumuoa Jojo leo kesho. Ila Jojo anapenda bad boys kama Dimond, Hasheem, Kiba. Wote watoto wa kitaaa, hustlers. Sasa hawa angetuachia sisi dada zao ndo tunawamudu wa uswazi wenzao.

Jojo kaanza na Kiba hata hana comeback ya kuelewekaaa. Ndo katoka kufungwa na madam Rita zaidi ya miaka sijui 4, haimbi, haingii studio, hafanyi show analelewa tu. Ndo maana madam sahivi team Mond, bado analilia penzi la Kiba.

Wengi tulisema Jojo ame downgrade, come on Kibaaaa! Mtoto wa Kariakooo. Nakumbuka mimi nilichamba ofisi nzima kuwa Jojo anayachezea maishaaa. Sasa Kiba ana nini, mwenye bahati habahatiki. Lakini her love was genuine. She was supportive of him always. Alijitoa akili. Hata kina Gigy mitako wakisema wameliwa ndogo na Kiba, she was still with him.

Kiba doesnt know how to treat his women. No wonder baby mamas wake wanne hakuna anaewajua. Na spora wa 5, sijui ndo anakamiliasha 4 hio. Mwanaume mchoyo yule sijapa kuona. Simkubali Dimond katika mambo yake ya umaluuni na kudhalilisha wanawake ila Dai anajua how to treat all his ladies. Mmanyema mwingi yule ila anajali sanaa wanawake sanaa. Enzi za Wema mmanyema anavunja bank kila birthday ya bidada anampa magari ya nguvuuu. Hivi vimchepuko mara Dai kampangishiaa nyumba yule video queen, mara Mobeto kapew trip za south na ulaya. Yaani hakuachi mkavuu. Ukiwa mwanamke wa Dai unapata pata vitu. Afu hajibaniiiiii yule mmanyemaa dunia nzima watajua Dai kakupendaa, atakupeleka mpaka kwa mama yake. Nisingekuwa above 40 ningejipeleka hahaa. Sasa Kiba mchoyooo anamjali mdogo wake na mama mtu na yule dada yao Zabibu. Sijawahi ona mwanaume mchoyo kama yule.

Alikuwa ana mkana Jojo. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kukukana mbele za watu. Amemkana Jojo zaidi hata ya mtume Petro alivomkana Yesu. Jojo yupo tu, holding strong. Hajawahi mpa kitu chochote Jojo. Raha ya kupewa upewe hadharani kama enzi Dai anampa Wema, unajiona kweli kijike, Kiba hajampa Jojo chochoteee sio birthday sio nini. Events za Kiba jojo yupo kumsupport kama kwenye tuzo, anaenda peke yake jinaume lilivo na roho ngumu red carpet linapita peke yake, so selfish, linajopst peke yake, Jojo baadae anakuja kupost nae vipicha vyake. Hata hii ya juzi walimchunia she went maskini akakaa pembeni waka muignore ila she went. Events za Jojo Kiba hatii mguuu. Kiba atakuwa mha si kwa roho mbaya ile. Insta Jojo anampromote Kiba watu wa vote, waangalie single, kiba hata kupost vibanio vya bae wake hata siku moja. Mwaka jana alizindua vibanio, no man to support her, Kama single lady Jojo maskinj. Kiba hajatia mguuu wala kupost.

Mpaka jana nasikiza interview maskini Jojo bado anampenda Kiba, i could see it and hear it from her. She deserves better. After everything still anampenda Kibaaa na ana msupport.

Mimi ni team Kiba damu, sio hapa nimemsifia Dai kidogo mdhani nime decamp, walaaaa ila kama advocate wa haki za wanawake Kiba apunguze kuwa Osokoni. Kwenye issue za mapenzi Dai takes the W, and Kiba please hold the big L.


Umejichanganya, Jojo si mwanamke wa kuolewa ila ni wa kuchapwa pumbu tu na kuachwa solemba. Demu yeyote asiyejitambua si wa kuolewa, uliza mwanamme yeyote atakuambia hivi. Unafikiri Kiba hana akili kumtosa Jojo? Hakuna mwanamme anayetaka demu dizaini ya Wema ama Jojo, wale si wife material ila ni michepuko ya kuondoa hamu. Muulize kaka yako kama angependa kuoa mmoja kati ya hao mademu uone kama hajakupiga au kukutemea mate huku akikuonya usiwe kama hao mademu.
 
Sio tu jojo alikuwa anamuonga kiba.alimsaidia pia kumrudisha kwenye chart wakati diamond anamkimbiza sana kiba.yeye na wema wamemsaidia sana jamaa kurudisha status yake kimziki.ametokea mlango wa huruma ya wa bongo
 
Sio tu jojo alikuwa anamuonga kiba.alimsaidia pia kumrudisha kwenye chart wakati diamond anamkimbiza sana kiba.yeye na wema wamemsaidia sana jamaa kurudisha status yake kimziki.ametokea mlango wa huruma ya wa bongo
Ila ile nguvu ya wema na jokate kuungana domo alipata wakati mgumu nasikia kwenye tuzo za ktma JoJo na Wema ilikuwa full kuzomea pale tunzo inapoenda kwa domo.....na ayo ndo malipo jokate cyo kwmba haumii ila aibu ndo inayomponza maana cyo kwa kile kihere here
 
Back
Top Bottom