Jokate: Wilaya ya Temeke yatengewa zaidi ya Tsh bilioni 4 za kutekeleza miradi ya maendeleo

Za kupambana na wamachinga mmetengewa ngapi!?
 
Kama mlipinga na mnapinga hata samia kuwa raisi, mtaachaje kupinga kutajwa jina lake?!! Endeleeni.......
Bila shaka unamaanisha mimi na wenzangu...

Mimi ndo mimi, je hao wenzangu ni akina nani?!
 
Sio mitanzania ni hao chawa ukiwemo na wewe kwani chadema ni nchi gani
 
Ndiyo yale yale aliyosema Uttoh ,Fedha mmepewa na IMF na si za Samia hizo na zitalipwa na WaTZ.
Maelekezo viongozi wote lazima wataje shukurani kwa Rais Samia, tulipoitupa katiba na serikali tukaitupa. Vijijini pesa za TASAF walikuwa wanaambiwa ametoa Magufuli na sasa ametoa Rais Samia, eti wazungu wanajidai wametupa wao!
 
Pesa kutoka IMF imekua ya Samia.Wanasiasa wenye vyeo kwa kusifiana utadhani wamerogwa.Hawapimi kauli zao wala uhalisia bali wanafyatuka tu.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Jojo akipewa ule mkoa mpya wa Chato kuna tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…