Naunga mkono hojaWashabiki wa simba wanatafuta kila namna ya kujifariji
Fedha atumie mwingine uumie wewe
Jipange uwe mchezaji pia uvune hizo pesaWachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi.
Je, huu ni uungwana?
Kwanini timu zisisajili wachezaji 24 kila mtu acheze kuliko kurundika watumishi hewa vilabuni
Huwezi kupata jibu la moja kwa moja maana team ni collective efforts za watu zaidi ya 50 sio kama ngumi au riadhaKatika hizo mechi 3 alizocheza ameingizia club Tsh ngapi? Tuanzie hapo kwanza kwenye mapato ili tujue kama club imepata hasara au faida.
Hivi unaijua 300milioni wewe au unaandika hapa JF?Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi.
Je, huu ni uungwana?
Kwanini timu zisisajili wachezaji 24 kila mtu acheze kuliko kurundika watumishi hewa vilabuni
Nadhani umesoma heading tu bila content,usajiloi milioni 60,mshahara milioni 10 kila mwezi,kwa miezi 12 inakuwa 120+60=180.Hivi unaijua 300milioni wewe au unaandika hapa JF?
Yaani mchezaji ambaye mkataba wake Simba ulikwisha, umri ukiwa umesogea, hayuko sokoni kugombaniwa na klabu yoyote kubwa, klabu inayomtaka inawezaje kupeleka dau kubwa ili kumchukua?
Mleta mada jiulize hili swali, Mkude kama asingechukuliwa na Yanga ilikuwa aende klabu gani nyingine?