MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Perfomance yake haijachangia Yanga kutinga robo fainali?Bilioni 2 za wapi tena ndugu yangu,how?when? Where?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Perfomance yake haijachangia Yanga kutinga robo fainali?Bilioni 2 za wapi tena ndugu yangu,how?when? Where?
Hesabu zake huwa zikoje kwa kutumia mfano wa Mkude?.Mkiwa mnapiga hesabu hizi ktk mpira wa miguu mtafeli sana ..mpira hauna hesabu hizi kwa wachezaji
Akikujibu ayafaidisha wengi.simba na yanga kuna sajili wanazifanya kwa mihemko,kukomoana au mkumbo,wacgezaji wengine gata afya hawapimwiHesabu zake huwa zikoje kwa kutumia mfano wa Mkude?.
Yaani inasadikika alisajiliwa kwa 60M, pia analipwa 10M per month, sasa hapo kimpira malipo yake halali yakoje?.
Kila timu Duniani haikosi wachezaji wanaokaa benchi. We umemuona Mkude tuu.Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi.
Je, huu ni uungwana?
Kwanini timu zisisajili wachezaji 24 kila mtu acheze kuliko kurundika watumishi hewa vilabuni
Mkude analipwa million 5Hesabu zake huwa zikoje kwa kutumia mfano wa Mkude?.
Yaani inasadikika alisajiliwa kwa 60M, pia analipwa 10M per month, sasa hapo kimpira malipo yake halali yakoje?.
Kale kamtungi la gesi ya oryx konde boy amekula ngapi na amecheza mechi ngapi!??Washabiki wa simba wanatafuta kila namna ya kujifariji
Fedha atumie mwingine uumie wewe
Wewe ndiye hujui, kwa hiyo unataka kusema first eleven pekee ndiyo iwe bora halafu, benchi dhaifu. Hakuna kitu kama hicho, hiyo inamaanisha Yanga ina ubora mkubwa.Huwezi kumlipa mchezaji mshahara milioni 10 ukamuweka benchi,bench wanakaa lowly paid au majeruhi kinyume chake ni kukosa skills za soccer management
Wewe ndio umesema hivyo,mimi naamini katika rotation haiwezekani mechi 50 mtu acheze mechi 3 tu,kocha hapo anakuwa amekoseaWewe ndiye hujui, kwa hiyo unataka kusema first eleven pekee ndiyo iwe bora halafu, benchi dhaifu. Hakuna kitu kama hicho, hiyo inamaanisha Yanga ina ubora mkubwa.
SawaaaMsimu ujao Ki aongezewe mshahara! Kama Yanga watakua hawana hiyo hela mimi nitatoa hela yangu ya kula...!🤸
Gari ya SGR labdaNadhani umesoma heading tu bila content,usajiloi milioni 60,mshahara milioni 10 kila mwezi,kwa miezi 12 inakuwa 120+60=180.
Bonus,Marupurupu NK inafika 300.
Kila mtu na bahati yake,Saido alitemwa Yanga Simba ameshawalia kama milioni 500 ila angalau yeye amechezapo na uzee ule ungejiuliza angeenda wapi maana pake Geita Gold alikuwa amejiegesha ni karibu na kwao,kutoka geita mpaka bujumnura ni masaa 6 tu kwa gari