Jonas Mkude ameshakula zaidi ya Tsh mil 300 za Yanga mpaka sasa na amecheza mechi 3 tu msimu mzima

Perfomance yake haijachangia Yanga kutinga robo fainali?
Mkude kacheza robo fainali na mamelodi Mechi zote mbili,wakaishia kutolewa,sio yeye aliyeipeleka robo fainali
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
 
Eti million 300. Hii ndio Tanganyika.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mkiwa mnapiga hesabu hizi ktk mpira wa miguu mtafeli sana ..mpira hauna hesabu hizi kwa wachezaji
 
Mkiwa mnapiga hesabu hizi ktk mpira wa miguu mtafeli sana ..mpira hauna hesabu hizi kwa wachezaji
Hesabu zake huwa zikoje kwa kutumia mfano wa Mkude?.

Yaani inasadikika alisajiliwa kwa 60M, pia analipwa 10M per month, sasa hapo kimpira malipo yake halali yakoje?.
 
Hesabu zake huwa zikoje kwa kutumia mfano wa Mkude?.

Yaani inasadikika alisajiliwa kwa 60M, pia analipwa 10M per month, sasa hapo kimpira malipo yake halali yakoje?.
Akikujibu ayafaidisha wengi.simba na yanga kuna sajili wanazifanya kwa mihemko,kukomoana au mkumbo,wacgezaji wengine gata afya hawapimwi
 
Reactions: K11
Kila timu Duniani haikosi wachezaji wanaokaa benchi. We umemuona Mkude tuu.
 
Hesabu zake huwa zikoje kwa kutumia mfano wa Mkude?.

Yaani inasadikika alisajiliwa kwa 60M, pia analipwa 10M per month, sasa hapo kimpira malipo yake halali yakoje?.
Mkude analipwa million 5
Hilo nina uhakika nqlo
 
Reactions: K11
Kila timu Duniani haikosi wachezaji wanaokaa benchi. We umemuona Mkude tuu.
Huwezi kumlipa mchezaji mshahara milioni 10 ukamuweka benchi,bench wanakaa lowly paid au majeruhi kinyume chake ni kukosa skills za soccer management
 
Huwezi kumlipa mchezaji mshahara milioni 10 ukamuweka benchi,bench wanakaa lowly paid au majeruhi kinyume chake ni kukosa skills za soccer management
Wewe ndiye hujui, kwa hiyo unataka kusema first eleven pekee ndiyo iwe bora halafu, benchi dhaifu. Hakuna kitu kama hicho, hiyo inamaanisha Yanga ina ubora mkubwa.
 
Wewe ndiye hujui, kwa hiyo unataka kusema first eleven pekee ndiyo iwe bora halafu, benchi dhaifu. Hakuna kitu kama hicho, hiyo inamaanisha Yanga ina ubora mkubwa.
Wewe ndio umesema hivyo,mimi naamini katika rotation haiwezekani mechi 50 mtu acheze mechi 3 tu,kocha hapo anakuwa amekosea
 
Gari ya SGR labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…