Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

CEO kachanganyikiwa na mtarimbo wa Mkude. Mo na ki ba....mia chake kakasirika sana kuchapiwa CEO.Mkude tangaza ndoa kabisa kwa CEO.
propaganda za utopolo na media tushazipuuza mda mrefu sana, ingekuwa kalinyo yuko simba na yanayoendelea huko sijui ingekuwaje?engineeer hersi nafikiri hizo hela anazohonga kulipia viwanda vya uongo angeongenzea makipa na mabeki wa prisons mechi inayofuata
 
Taarifa ina makosa mengi sana. Najiuliza ulazima wa kumsimamisha mcheza jiningali timu ina mechi nyingi tu kwa muda mfupi.
Aisee...nyinyi ndo mnaturudisha nyuma...Mkude akiona comment zenu ndo anazidi kiburi...nidhamu kwanza...mkude ni nani?kulikua na Mutesa Patrick Mafisango,aendelee kupumzika kwa amani,milele tutamkumbuka.
 
ndiyo kweli naliongeleaga kila siku ila popoma Genta huwa anaiwakia sana, tusubiri tuone siku hiyo kama nyoni atakuwa hajapona kuna uwezekano shomari kapombe akacheza katikati,ame ibrahim akacheza namba mbili,wajitahidi lwang apate kibali
Ndemla na Mzamiru wanaweza cheza vizuri tu...
 
Aisee...nyinyi ndo mnaturudisha nyuma...Mkude akiona comment zenu ndo anazidi kiburi...nidhamu kwanza...mkude ni nani?kulikua na Mutesa Patrick Mafisango,aendelee kupumzika kwa amani,milele tutamkumbuka.
mafisango shida yek ilikuwaga pombe tu tena akinywa ndipo alikuwa anafanya maajabu uwanjani,huyu jamaa mkude akinywa ndo vile sasa kumbuka kama ile kadi nyekundu dhidi ya ntibakonzinza mechi na burundi,yaani jamaa ni liability sana issue ni kwamba anapendwa sana lakini kuna viungo wazuri sana hata team za mikoani wanamzidi hajui hata ku slide tackle kabisa,kotei na fraga walimfichia sana makosa
 
Bila kiungo mwingine Mkude hamna kitu...hawezi kusimamia shughuli mwenyewe ila ana bahati ya kupendwa...apumzike tu amalize arosto zake.
 
Kwani kumtongoza CEO ni utovu wa nidhamu basi atembee na orodha ya watu wanaostahili kumtongoza kabla hujamtongoza upewe ukikuta haumo kwenye orodha ufunge domo lako.
uto wamedhamiria mwaka huu na kile kipigo cha majimaji jana kimewatuliza kabisa,jumatano tukishinda na tarehe sita utaona watakavyonywea
 
uto wamedhamiria mwaka huu na kile kipigo cha majimaji jana kimewatuliza kabisa,jumatano tukishinda na tarehe sita utaona watakavyonywea
Wamedhamilia kweli , iko wapi timu ya kujisifia kutoa kipigo cha goli 5, sahau kuhusu kushinda tarehe 6 ,Simba hii yenye makalio badala ya makali.
 
Wamedhamilia kweli , iko wapi timu ya kujisifia kutoa kipigo cha goli 5, sahau kuhusu kushinda tarehe 6 ,Simba hii yenye makalio badala ya makali.
baada ya tarehe sita msijali tukishaingia makundi mtakuwa na mechi 3 za kushangaa hapa dsm ,mtanunua sana jezi kudadeki mamaeeeeee,ngoma hii hadi nusu fainali.WIDA WAR IN DAR
 
Mikia si walikuwa wanasema kwa Sasa ndie kiungo bora imekuwaje tena
 
Ndio mnavyodanganyana, ndio maana Wachezaji wenu hawafiki mbali.....nidhamu ni msingi wa kila kitu.

Kipaji na nidhamu ndio mafanikio, na bahati mbaya kati ya vipaji vinavyohitaji nidhamu mbele ni michezo.
Haya mkude nidhamu hana simba mnunue himid mao aje achomekee uwanjani muone.
 
Manguruwe bhana. Issue ndogo za beer [emoji481] kadhaa na kisha kumpandia hewani CEO imekuwa kitu kikuuubwa. Watu wasinywe tu beer tuwili tutatu? Barbra asisomeshwe?
Si ndio hapo sasa
Simba imeingilia faragha za watu
 
Mikia si walikuwa wanasema kwa Sasa ndie kiungo bora imekuwaje tena
ukikuta comments za watu zinasema watu wanakula bata beach kidimbwi la kufa mtu pesa zipo ina maana kila mtu ana pesa?mimi nimeelezea udhaifu wake hajui kukaba huwa anakaba kwa kunyanyua mguu na kukita,yuko slow,hajui kufanya sliding tackles,hajui kupiga penetration passes
anayemsifia aniambie ubora wake uwanjani ni upi ila nikuambie tu jambo moja ANA DAMU YA KUPENDWA SANA mtu kama muzamiru yassin hata afanyaje uwanjani mazuri kiasi gani akikosea hata kutoa pass moja atatukanwa week nzima,ana damu ya nyoka
 
Hata mm nimesikia hivyo
utasikia mengi tu kama ulivyoskikia kichuya kafungiwa,kagere kampiga kichwa sven...kwenye hii digital era ni muhimu sana ukishirikisha hlamashauri yako ya kichwa,mimi nimesikia anatengeneza fitna kambini kama alivyofanyaga kipindi kile hadi akapokonywa unahodha..chagua wewe utaamini lipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…