Huyu mwamba sijui ana shida gani kwa kweli,siku ile wanaenda zimbabwe wenzake wamevaa jezi juu na tracks chini wengine vibukta vyeusi sare yeye kapigwa yale mashati ya maua ya hawaii na kipensi cheupe
kule zimbabwe wanasali na balozi yeye hajafunga macho anakuna nungunungu zake kichwani
Tukirudi kwenye uchezaji Iam glad hatakuwepo kwa kweli,sijawahi muona mkude akifanya sliding tackle hata siku moja yeye ukabaji wake huwa ni kunyanyua mguu na kukita .
Sioni anything special kwa huyu bwana labda kuwe na watu kama kotei na Fraga wa kumsaidia ila akiwa na muzamiru siku hiyo utacheka maana hata pasi hajui kupiga
Ana kitete cha mguu,anakimbia kama ana majipu miguuni,pasi zake nyingi za nyuma hajui kupiga penetration passes kabisa
siku ya mechi ya tunisia nilifurahi sana fei toto alipoingizwa badala yake.Atulize kichwa ule usela mavi wake unakera sana
View attachment 1661654