..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU

Kusikiliza hawa mashekhe ni kujivunjia heshima
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof.Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof.Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
Wamepewa kidogo cha mezani....daah hawa Wazee wangu wanapotoka sana sijajua shida nini Duniani zipo dini kibao kutwa mnabishana na hizi dini mbili tu zilizoletwa na mabaharia kutoka Ulaya na Nchi za Uarabuni huko...
Wamelipwa baba, wanatumikia bahasha zao, jana tulikula kuku nyumbani, mzee wetu alitoka, karudi na samia nyumbani, wakati aliondoka na gwajima, pesa baba..hawa Mashekhe wana hoja, tatizo ni wanapoelekeza hoja na lawama zao.
..Mashekhe walitakiwa wailalamikie na kuishutumu serikali, sio kanisa Katoliki.
..Kwa mfano, kama wanalalamika kuonewa na kufungwa wanatakiwa wailalamikie serikali, na sio Kanisa Katoliki kwasababu Kanisa Katoliki halimiliki Magereza.
..Kama wanalalamika kunyimwa nafasi za uteuzi wanapaswa kuilalamikia serikali kwasababu wanafanya uteuzi wako serikalini, na CCM.
Umenichekesha kifala sana hapa daah..Wamelipwa baba, wanatumikia bahasha zao, jana tulikula kuku nyumbani, mzee wetu alitoka, karudi na samia nyumbani, wakati aliondoka na gwajima, pesa baba
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof.Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof.Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof.Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
BAKWATA ni jumuia ndani ya CCM ambayo jukumu lake ni kuwaghilb Waislamu waiunge mkono CCM hata kwenye mambo ya kupumbavu.Hao ni masheikh wa BAKWATA, kipindi hiki kidato cha nne wanafanya mitihani, matokeo yakitoka tafuteni shule za BAKWATA tuangalie wamefanyaje,hapo hutawalaumu.
Kuna tofauti kubwa kati ya waislamu wa BAKWATA na sisi waislamu wengine.
sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri.