Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

haya tafuteni na wengine hao kama wapo kwenye Bar Society......



Pia tufahamishwe wana run chambers zipi za uwakili... baadhi ya kesi walizoshughulika nazo na kadhalika.

Kama mama anawatuma cheap felas namna hii, dah
 
Kwahio Mjadala wa Bandari Pekee ? Pengine matusi ni Ruksa ?
 
Mbona naona majina ya waarabu tu!
 
DP World watoe ajira kwa hili jopo lililojitokeza kutoa elimu kuhusu manufaa na uhalali wa mkataba huu wa bandari baina ya DP World na serikali ya Tanzania pia mambo mtambuka yatakayonufaisha raia wa kawaida nchini Tanzania
 
Ona hawa eti kuingiza siasa wakato jambo lenyewe ni la kisiasa?

Eti hawapendi kusikia tunataja Mwarabu kwani wanaoleta uwekezaji ni Wakongo?

😅😅😅
 
Mimi naona hawa wanasheria waliobobea wajikite kwenye vifungu vya Mkataba ule badala ya kuja na maneno ya reja reja.
 
Pumbavu zao kabla sijaona majina yao tu nikajua watakuwa wavaa kobazi
 
Ni jambo jema.....ingawa inasikitisha kuona maslahi ya nchi yanajadiliwa Kwa misingi ya dini.

Walaaniwe Wanasiasa na wanasheria walioanzisha kujenga hoja kwa misingi ya dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…