Jopo la Wanasheria wa Afrika Kusini wameiheshimisha Afrika, ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki

Mmoja wa Wanasheria kutoka Afrika Kusini, Tembeka Ngcukaitobi ili mlazimu kuicheza video ya wanajeshi wa Israeli ambao walikuwa wakisherekea kufanya mauaji pale Gaza huku wakisema kwamba raia wa Gaza hawana haki ya kuishi mbele ya Mahakama Kuu ya Haki.

Binafsi, hata kama Mahakama hiyo wasifanikiwe kutenda haki lakini huu utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa wapenda haki wote duniani.

Kuona kwamba Israeli wamefikishwa mbele ya sheria huku jambo lao likijadiliwa kwa ukubwa huu, tayari ni ushindi wa kiwango kikubwa sana.

Taarifa wameipata, ujumbe umefika, huku maelfu ya watu duniani wakiutambua ukweli wote.
 
Attachments

  • 52b93b96-aab6-451f-ba4b-e0130a098a50.mov
    13.9 MB
Haki gani? Mtu unachokoza, ukipigwa unakimbilia kushtaki. Haki gani hapo. Ningewaona wa maana kama wangeshtaki Urusi kwa kuivamia Ukraine. Mengine ni uhayawani tu
Huu mgogoro wa Palestina na Israel umeujulia JF.
 
Acha Upuuzi! Ukichokoza Kubali matokeo.
Wewe ndiyo mpuuzi unasema israel alichokozwa ndiyo maana nakuambia huu mgogoro umeujulia JF au umri wako mdogo umekuja JF kubishana bila kufahamu histori ya Mashariki ya Kati.
 
Wewe ndiyo mpuuzi unasema israel alichokozwa ndiyo maana nakuambia huu mgogoro umeujulia JF au umri wako mdogo umekuja JF kubishana bila kufahamu histori ya Mashariki ya Kati.
Hatujuani! Wewe udini tu. Wachapwe ili akili iwaingie. Mambo ya 1967 etc Achana nayo. Tuna angalia ya juzi
 
Haki gani? Mtu unachokoza, ukipigwa unakimbilia kushtaki. Haki gani hapo. Ningewaona wa maana kama wangeshtaki Urusi kwa kuivamia Ukraine. Mengine ni uhayawani tu
Ile ni vita mbona wanatageti raia?
 
Hatujuani! Wewe udini tu. Wachapwe ili akili iwaingie. Mambo ya 1967 etc Achana nayo. Tuna angalia ya juzi
Udini upon wapi hapo msikilize basi Mkristo mwenzako.
 
Attachments

  • 52b93b96-aab6-451f-ba4b-e0130a098a50.mov
    13.9 MB
 
BREAKING:

⚡ 🇨🇳 Balozi wa China kwenye Umoja wa Mataifa Zhang Jun:

"Operesheni za kijeshi za Amerika na Uingereza dhidi ya Houthi zimeshindwa"

Operesheni za kijeshi za Marekani na Uingereza dhidi ya walengwa wa Houthi nchini Yemen zilishindwa kufikia malengo yao yaliyotajwa. Baraza la Usalama halijawahi kuidhinisha nchi yoyote kutumia nguvu dhidi ya Yemen.

t.me/megatron_ron
 
South Africa walitakiwa kuanzia nyumbani huku. Hicho walichokifanya kitaa tunaita shobo dundo
“Kama kuna siku nimewahi kujisikia fahari sana katika maisha yangu ni pale ambapo mawakili wetu walipokuwa wakiitetea kesi yetu dhidi ya Israeli”

“Hatua tuliyoipiga ni ya hatari sana, sisi ni nchi ndogo na tuna uchumi mdogo hivyo wanaweza kutushambulia lakini tutabakia kujitolea kwa misingi yetu na hatutakuwa huru kweli kama tutashindwa kuwakomboa watu wa Palestina”

Cyrill Ramaphosa, Rais wa Afrika Kusini 🇿🇦
 
Attachments

  • 1b029dc8-4ac8-4085-ab22-c0417dbffaf3.jpeg
    54.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…