Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #41
Mmoja wa Wanasheria kutoka Afrika Kusini, Tembeka Ngcukaitobi ili mlazimu kuicheza video ya wanajeshi wa Israeli ambao walikuwa wakisherekea kufanya mauaji pale Gaza huku wakisema kwamba raia wa Gaza hawana haki ya kuishi mbele ya Mahakama Kuu ya Haki.
Binafsi, hata kama Mahakama hiyo wasifanikiwe kutenda haki lakini huu utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa wapenda haki wote duniani.
Kuona kwamba Israeli wamefikishwa mbele ya sheria huku jambo lao likijadiliwa kwa ukubwa huu, tayari ni ushindi wa kiwango kikubwa sana.
Taarifa wameipata, ujumbe umefika, huku maelfu ya watu duniani wakiutambua ukweli wote.