Jopo la Wanasheria wa Afrika Kusini wameiheshimisha Afrika, ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki

Ina maana kinachoendelea gaza, kinawauma zaidi ya ule uhuni unaofanyika sudan?, ni unafiki mkubwa!!
 
Ina maana kinachoendelea gaza, kinawauma zaidi ya ule uhuni unaofanyika sudan?, ni unafiki mkubwa!!
Sudan si unaweza kufungua kesi hata wewe kama unamia zaidi mtu binafsi anaruhusiwa kufungua kesi.
 
Ungejikita kwenye hoja lakini kwakuwa huna marinda nisikulaumu
Hoja ipi? Mbona marinda hata Mama yako mzazi alishatolewa siku nyingi ujashangaa? Mabwege sana nyie mnakuja JF kushambulia watu ukikitana na bakora unajifanya una hoja🤣
 
Naona wengi ni manasara aka makafiri
 
Hoja ipi? Mbona marinda hata Mama yako mzazi alishatolewa siku nyingi ujashangaa? Mabwege sana nyie mnakuja JF kushambulia watu ukikitana na bakora unajifanya una hoja🤣
kweli nyani haoni kundule, umeanza na kejeli na dhihaka dhidi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…