mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 433
ha ha ha! Hapo kuna Kabwe Makanika aka Jitu Kumbuka. Huyu aliwasumbua aana Mafia mob wakiwa na wakubwa wao kina Don Fredrique Gaetano, Lucy Luciano na Giovani Pambieri. Kuporana almasi kule Maganzo Shinyanga na michezo ya mashine ya Magnum 357!
Kuna mwandishi anaitwa DADI MWAWARE aliandika Operation vipusa na Maputo. Jamaa alikuwa mkali sana. Yaani nilipoona vituko vya operation tokomeza utafikiri nakisoma leo operationa vipusa. Sijui na yeye yuko wapi usikute naye ni marehemu!