Jordan Badala Ya Kuwasaidia Gaza Anamsaidia Israel

Kwahyo mfalme wa jordan kutumia akili ameonekana siyo mwislam? Kwanini mtu yoyote au taifa lolote la kiislam likumia akili kwaajli ya watu wake na raslimali zke kwaajili yanchiyake anaonekana syo mwislam yan mpka aweke maisha ya raia wake hatarin ndo aonekane ndo mwislam
 
Angalieni Helicopter ya Jordan inafatilia Drones za Iran kuziangusha, hivi huyu mfalme kweli ni Muislam?
Bado napataga shida sana na ndugu zangu katika imani; hivi ugomvi hu wa Iran Vs Iraq una uhusiano gani na dini ya kiislam? Yaani say Iran ikishinda, uislam unakua umeshandaje hapo? Au Israel ikimshinda mu Iran, ndio kusema Allah anakua kupigwa na Israel? Heshima yake kama mungu hapo inakua wapi endapo anapigwa na binadamu na anapigika vizuri? Why we are so stupid, everything we associate with religious issues, nonsense
 
Kwahyo mfalme wa jordan kutumia akili ameonekana siyo mwislam? Kwanini mtu yoyote au taifa lolote la kiislam likumia akili kwaajli ya watu wake na raslimali zke kwaajili yanchiyake anaonekana syo mwislam yan mpka aweke maisha ya raia wake hatarin ndo aonekane ndo mwislam
Ndio hawa hawa wanaona bora bandari zetu zichukuliwe na mfalme wa Dubai ili akajenge nchi yake ya UAE tu kwasababu ni muislam lakini ni dhambi kwao, Watanzania wakibakia na bandari ambayo ingejenga nchi yao. Kwa mtazamo wangu, orodha ya vichaa, yaani watu wasiotumia akili kabisa, waislamu wa Africa nao wawe inclusive
 
💪
 
Hi nchi ni ya ******* kweli na wananchi wake wakivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel.

Je Jordan ni warabu au Wayahudi? Vipi mkubali mfalme wenu afanye ujinga huo.

Iran hebu wasukumie Missiles hao hata 10 tu zinawatosha washike adabu zao.

Angalieni Helicopter ya Jordan inafatilia Drones za Iran kuziangusha, hivi huyu mfalme kweli ni Muislam?

View: https://youtube.com/shorts/wrrwU5Mxrho?si=H3S2WEavoYS3zem7

Kwani Iran aliumba ruksa kwa muarabu apitishe Drone na Missile zake anga la Jordan? And Iran inajulikana siku nyingi anataka kuuangusha utawala wa King Hussein au hujui hilo? Na si mara ya kwanza kuzuia vibajaji vya angani hivyo vya Iran, ni sawa na mimi nipotishe mifugo yangu barazani kwako ulilololipiga deni na hapajakauka wanyama wanye n,k utawatizama tu eh

Mkeo tu akipiga deki ukiapita anakumind
 
Hi nchi ni ya ******* kweli na wananchi wake wakivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel.

Je Jordan ni warabu au Wayahudi? Vipi mkubali mfalme wenu afanye ujinga huo.

Iran hebu wasukumie Missiles hao hata 10 tu zinawatosha washike adabu zao.

Angalieni Helicopter ya Jordan inafatilia Drones za Iran kuziangusha, hivi huyu mfalme kweli ni Muislam?

View: https://youtube.com/shorts/wrrwU5Mxrho?si=H3S2WEavoYS3zem7

Kwan na ww hapo masjid kizimkazi si uzidishe ubani kuwasomea albadiri wayahudi? Unafeli wapi Ustadhi? Kama albadiri ikishindwa watupie majini tu .
 
Jipeni moyo Israel wenyewe wamekiri Iran ana nguvu hawakutegemea. Wanajikaza tu kujidai wataweza kushindana na Iran lakini ukweli time kila ikienda Israel atakuwa hana uwezo hata wakurusha ndege hahaha
Maghala ya silaa pamoja na maeneo ya uzalishaji zikishaangamizwa, tayari anakuwa hana nguvu tena.
 
Hi nchi ni ya ******* kweli na wananchi wake wakivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel.

Je Jordan ni warabu au Wayahudi? Vipi mkubali mfalme wenu afanye ujinga huo.

Iran hebu wasukumie Missiles hao hata 10 tu zinawatosha washike adabu zao.

Angalieni Helicopter ya Jordan inafatilia Drones za Iran kuziangusha, hivi huyu mfalme kweli ni Muislam?

View: https://youtube.com/shorts/wrrwU5Mxrho?si=H3S2WEavoYS3zem7

SAFI Imeandikwa amelaaniwa ailainiaye ISRAEL na amebarikiwa Aibalikiaye ISRAEL
 
Dogo hujui historia ya Israel na Jordan. Mfalme wa zamani wa Jordan aliwahi kumpa taarifa ya siri Israel kuhusu mashambulizi ya Misiri nchini Israel........ Kasome historia kwanza kijana
 
SAFI Imeandikwa amelaaniwa ailainiaye ISRAEL na amebarikiwa Aibalikiaye ISRAEL
Hilo andiko la kile kitabu cha mkosa nyumba. Kageuza story za Yakobo kaxileta kwenye nchi hahahaha ukanisa ni ujinga sana.
 
Back
Top Bottom