Jordan Badala Ya Kuwasaidia Gaza Anamsaidia Israel

Jordan Badala Ya Kuwasaidia Gaza Anamsaidia Israel

Dogo hujui historia ya Israel na Jordan. Mfalme wa zamani wa Jordan aliwahi kumpa taarifa ya siri Israel kuhusu mashambulizi ya Misiri nchini Israel........ Kasome historia kwanza kijana
Hahaha mimi na umri mkubwa kuliko wewe si ajabu nikawa na umri kama wa Baba yako. Hio story naijua nilidhani unakusudia blood related
 
Saw
Hezbullah wako fit we tulia tu utashangaa kuna siku utawaona, wa awafatilia wale walio nunuliwa na Israel wakisha wamaliza ndio utagundua Hezbullah bado ni vili vile na kuliko walivyo kuwa kwanza. Poleni sana leo asubuhi Iran kawamaliza Mageneral wa Israel. Wao wanaficha walikuwa kwenye meeting


View: https://youtu.be/B-YnijwGFdg?si=o_Y7OPiwW9GE-W64

Sawa mkuu tunaingojea hyo siku kwa shauku kuu naifiike nafsi zetu zitulie.isiwe kujilisha upepo tuu
 
History inajirudia tena!

Babu yake aliwasaliti utawala wa Ottoman, yeye anawasaliti wenzake.
 
Mfalme wa Jordan ana chembe chembe za kiyahudi ndio unaona kimya then Irani anataka kupindua Sunni asimamishe Shia ndio maana hata nchi nyingi hazimpi Support
Iran hana mpango wa kusimika utawala wa Shia. Waarabu tu ni vichwa maji ambao tawala zao hazijielewi.
 
Nyie mkipigiwa Petrochemical pale Haifa mmekwisha Israel analijua hilo ndio sababu hawezi kugusa visima vya Iran
Huu mpango ni wa muda mrefu, ndio maana Marekani alisogeza ndege za kivita karibu na mashariki ya kati, ata hii safari ya Trump kwenda Saudia ilikuwa kuweka mambo sawa.
Kwa hali hiyo, Iran kwa sasa ana wakati mgumu sana.​
 
Hi server ya baba yako au afu ushoga wako peleka kwa wengine mimi sina time na wajinga kama nyie.

Waislamu wanatukana hadi nacheka sana, mna hasira na mikanzu huku mitaani na bado Israel anatembeza kichapo, Iran ndio ilikuwa imebaki gaidi mkubwa wa dini yenu, amelemazwa Sasa mtakaa kwa kutulia.
 
Kwani Iran aliumba ruksa kwa muarabu apitishe Drone na Missile zake anga la Jordan? And Iran inajulikana siku nyingi anataka kuuangusha utawala wa King Hussein au hujui hilo? Na si mara ya kwanza kuzuia vibajaji vya angani hivyo vya Iran, ni sawa na mimi nipotishe mifugo yangu barazani kwako ulilololipiga deni na hapajakauka wanyama wanye n,k utawatizama tu eh

Mkeo tu akipiga deki ukiapita anakumind
Bora leo umeongea kwa akili au kipigo cha Iran kimekufanya upate akili kidogo sababu wewe hata kenge anakuzidi akili.

Safi sana hi leo kidogo umeongea point
 
Waislamu wanatukana hadi nacheka sana, mna hasira na mikanzu huku mitaani na bado Israel anatembeza kichapo, Iran ndio ilikuwa imebaki gaidi mkubwa wa dini yenu, amelemazwa Sasa mtakaa kwa kutulia.
We punguza ushoga Israel atapiga magoti mda si mrefu.
 
Nikukumbushe tuu Jordan ilipokea wapalestina kibao miaka ya 70, ila wapalestina wakataka kupindua serikali ya Jordan hapo ndio walipokuwa wakanenda Lebanon huko Napo wakasababisha vita kubwa . We huoni waarabu wanawakataa Kwasababu ni watu WA fitna
 
Hi nchi ni ya ******* kweli na wananchi wake wakivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel.

Je Jordan ni warabu au Wayahudi? Vipi mkubali mfalme wenu afanye ujinga huo.

Iran hebu wasukumie Missiles hao hata 10 tu zinawatosha washike adabu zao.

Angalieni Helicopter ya Jordan inafatilia Drones za Iran kuziangusha, hivi huyu mfalme kweli ni Muislam?


View: https://youtube.com/shorts/wrrwU5Mxrho?si=H3S2WEavoYS3zem7

Kwani hao ni ngd zao? Soma historia ndg wa Israel ni wajodan.
Ishamael alipoondokewa na mama yake wavuka mto wakapiga kambi Jordani, mama mtu akaenda kumchukulia mke kwa wajomba zake huko Misri,baada ya miaka Ishmael alimuoa mwanamke wakijordan, hata hivyo yule kaka yake yakobo aitwaye Esau alio miongoni mwa binti za Ishamel na waliaza kukaa huko kabla hawavuka mto kuja upande wa pili hao wanaitwa Waedom,baadhi wapo hapo Jordani. Wajordan hawana mahusiano ya udugu wa damu na wapalestina ukindoa udugu wa kiimani. Hivyo watawasaidia ndg zao kila ilivyo
 
Hi server ya baba yako au afu ushoga wako peleka kwa wengine mimi sina time na wajinga kama nyie.
Wewe hapo ulipo una akili gani kwanza ukishakubali kuabudu utamaduni huo huwezi kuwa na akili hata kidogo.
 
Siyo kila mtu ni mtumwa wa dini wengine wanazingatia sana logic kuliko mihemko
Hi nchi ni ya ******* kweli na wananchi wake wakivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel.

Je Jordan ni warabu au Wayahudi? Vipi mkubali mfalme wenu afanye ujinga huo.

Iran hebu wasukumie Missiles hao hata 10 tu zinawatosha washike adabu zao.

Angalieni Helicopter ya Jordan inafatilia Drones za Iran kuziangusha, hivi huyu mfalme kweli ni Muislam?


View: https://youtube.com/shorts/wrrwU5Mxrho?si=H3S2WEavoYS3zem7

Ni
 
Back
Top Bottom