A Adiosamigo JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 11,253 Reaction score 15,070 Jun 14, 2025 Thread starter #61 Imeloa said: Wewe hapo ulipo una akili gani kwanza ukishakubali kuabudu utamaduni huo huwezi kuwa na akili hata kidogo. Click to expand... Ule wa kuabudu mtoto wa Mariam ni Mungu au hahahaha Mimi namuabudu Mungu wa Ibrahim, Ismail, Ishaq, Yakobo, Mussa, Yesu na Muhammad
Imeloa said: Wewe hapo ulipo una akili gani kwanza ukishakubali kuabudu utamaduni huo huwezi kuwa na akili hata kidogo. Click to expand... Ule wa kuabudu mtoto wa Mariam ni Mungu au hahahaha Mimi namuabudu Mungu wa Ibrahim, Ismail, Ishaq, Yakobo, Mussa, Yesu na Muhammad
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,861 Reaction score 9,909 Jun 14, 2025 #62 Adiosamigo said: Nipe dada yako Click to expand... Wahuni washawachukua buana nimebakiza mmoja bado anasoma
Adiosamigo said: Nipe dada yako Click to expand... Wahuni washawachukua buana nimebakiza mmoja bado anasoma
B Barakaoctavian Member Joined Apr 18, 2025 Posts 55 Reaction score 49 Jun 14, 2025 #63 Kwani waarabu gani wanaomsaidia wapalestina huko Gaza? Zaidi ya makundi haya ya kuungwa mkono na Iran....uarabu na udini hauna tija katka ulimwengu wa sasa. That's why Egypt ni mshirika mkubwa wa USA
Kwani waarabu gani wanaomsaidia wapalestina huko Gaza? Zaidi ya makundi haya ya kuungwa mkono na Iran....uarabu na udini hauna tija katka ulimwengu wa sasa. That's why Egypt ni mshirika mkubwa wa USA