Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Ametenda kosa lipi kama makombora yanapita nchini kwake,halafu yeye anayaangalia tu bila kuyadhibiti. Hata hapa kwetu likikatisha kombora la keny kwenda zamb tutalidhibiti tu. Ksbb hizo ni siraha kama una uwezo wa kuridhibiti,lidhibiti mapema kabla halijaanguka Mbey.Kwa vile imetolewa baada ya kutenda kosa inakuwa ni kauli ya kujetetea usiadhibiwe.
Kumbe ballistics hazikamatiki.Ajichanganye tena sasa aone atakavoteremshiwa moto na Iran.
Tathmini yako umeifanya kwa kutumia hadithi za kizamani kuhusu Israel.Mleta mada ninakuhakikishia, ikiwa vita ya Iran na Israel itashika kasi, hakuna taifa lolote la kiarabu au lililopo mashariki ya kati litasimama kuisaidia Iran moja kwa moja.
Upande wa pili hakuna taifa lolote litakaloguswa na chochote kutoka Iran ikiwa litasimama na Israel.
Kwa kifupi mkuu Iran anachagua apige wapi ndani ya israeli akitaka anapiga kwenye mshono kabisa pale kwenye knesset missiles zilipita juu ya bunge la knesset hii haijawahi kutokea tangu israeli aivamie Palestine mwaka 1948Kumbe ballistics hazikamatiki.
kwa hali inavyoendelea Israel hatoweza kutumia ndege za F35 wala hawezi kuvuka kwa miguu kwenda Iran.
Itakuwa ni balistics kwa balistics.Iran za kwake kumbe zinafika popote Israel mpaka kwenye nyumba ya Netanyahu.
kama ni askari wa miguu basi Iran ndio ipo karibu zaidi na Israel kupitia Syria na Lebanon na hata Jordan.
Sasa jeuri ya Israel itatoka wapi hapo.
Hofu ni Israel kutumia nyuklia lakini kwa makombora ya kawaida ya ballistic na ndege za F35 hana lolote la kumshinda Iran.Kwa kifupi mkuu Iran anachagua apige wapi ndani ya israeli akitaka anapiga kwenye mshono kabisa pale kwenye knesset missiles zilipita juu ya bunge la knesset hii haijawahi kutokea tangu israeli aivamie Palestine mwaka 1948
Israel hata watumie nuclear Iran atakufa nae sambamba maana anajua silaha za nuclear za israeli zilipo istoshe kwa sasa Iran ana silaha za nuclear japo bado haijawekwa wazi.Hofu ni Israel kutumia nyuklia lakini kwa makombora ya kawaida ya ballistic na ndege za F35 hana lolote la kumshinda Iran.
Na tayari Iran imeonesha namna inavyoweza kushambulia mpaka maeneo ya mitambo ya nyuklia ya Israel iliyopo jangwa la Negev jambo ambalo linaweza likaleta kizaazaa huko huko Israel sawa na Iran.
Iran juzi imesaini makubaliano mapya na China ambayo China imesema yatakuwa ni kwa kipingi hiki cha mgogoro na Israel.Israel hata watumie nuclear Iran atakufa nae sambamba maana anajua silaha za nuclear za israeli zilipo istoshe kwa sasa Iran ana silaha za nuclear japo bado haijawekwa wazi.
Tayari ana bomu la nuclear. Wakaguzi wa umoja wa mataifa wiki iliyopita walitua Iran kufanya ukaguzi Iran imewagomea baada ya kuwashtukia ni ma spy kwaajili ya marekani na nchi za Western. Juzi wamekuwa deported kurudi walipotoka.Iran juzi imesaini makubaliano mapya na China ambayo China imesema yatakuwa ni kwa kipingi hiki cha mgogoro na Israel.
Hatujui kwa undani wamekubaliana nini.Lakini yawezekana Iran kweli ameshaweka nyuklia ndani ndio maana anajiamini kusema ataivuruga Israel yote.
Ww ndo unaichimsha usije ukatengeneza TNT yakoDawa ya Iran, ina chemka soon atanyweshwa.
Aerikali za kidictata kama za Jordan na sudia zinashida sana viongozi ndo wapo na hao wayshudi ..na juzi Jordan walikuwa wanaandamana ikitokea kunavurugu kama hizo ndo fursa hutokea kupindua seriakaliMleta mada ninakuhakikishia, ikiwa vita ya Iran na Israel itashika kasi, hakuna taifa lolote la kiarabu au lililopo mashariki ya kati litasimama kuisaidia Iran moja kwa moja.
Upande wa pili hakuna taifa lolote litakaloguswa na chochote kutoka Iran ikiwa litasimama na Israel.
Wamejiweka mbali kivipi? Hapo maana yake vifaa hivyo vikipita tena kwenye anga lao vitadunguliwa tu. Kumbuka pia kwamba wote waliovidungua hawakuombwa msaada na Israel.Jordan imekiona kitisho cha vita baina ya Iran na Israel na imeanza kujiweka mbali na Israel.
Katika kujitetea kwanini walidungua droni za Iran zilizokuwa zikielekea Israel,nchi hiyo ya kifalme imesema haikufanya hivyo kuitetea Israel bali ilikuwa ni kuwalinda raia wake dhidi ya vifaa vilivyopita kwenye anga lake.
Kauli hiyo ya kujitetea imetolewa na waziri wa mahusiano ya nje,Mohammed Swafad na mawaziri wengine wa ufalme huo.
Wakiendelea kufafanua hatua yao hiyo,mawaziri hao wamesema kitendo chao hicho si kwa makombora kutoka Iran tu bali hata kutoka nchi nyengine yoyote ile.
Kwa upande wake mfalme Abdallah wa nchi hiyo katika mazungumzo na raisi Biden wa Marekani,amesema hataki nchi yake iwe ni uwanja wa vita baina ya Iran na Israel.
Ili mashambulio ya Israel dhidi ya Iran yafanikiwe ni lazima ipate ushirikiano kutoka kwa mataifa matatu ya kiarabu inayopakana nayo.
Zaidi ya nusu ya raia wa Jordan wana asili ya Palestina akiwemo mke wa mfalme wa Jordan,bi Rania.
Katika siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la maandamano ya kuiunga mkono Palestina na kutaka kufutwa kwa mkataba wa mapatano baina ya Israel na nchi hiyo uliotiwa saina mwaka 1994.Mkataba ambao tangu mwanzo haujaungwa mkono na raia wa nchi hiyo.
Walichokifanya kwa makombora ya Iran na onyo walilopewa ni kama kwamba wamejuta.Wamejiweka mbali kivipi? Hapo maana yake vifaa hivyo vikipita tena kwenye anga lao vitadunguliwa tu. Kumbuka pia kwamba wote waliovidungua hawakuombwa msaada na Israel.
Halafu unatuma Kokbora linakuwa linajulikana linatoka saa ngapi, litapitia wapi , litatapitia wapi kufanya transition… yaani silaha za anga ratiba zake zinajulikana na zimekaa kama za ratiba za ndege za abiria, hapo maana yake warushaji wa hayo Makinbora ni Mashoga wote ila wanafanya ushoga wao kisirisiri.
kwa maana hiyo kama Iran akirushiwa na yeye anarusha.Sijui umwamba wa Israel utabaki wapi tena.Tayari ana bomu la nuclear. Wakaguzi wa umoja wa mataifa wiki iliyopita walitua Iran kufanya ukaguzi Iran imewagomea baada ya kuwashtukia ni ma spy kwaajili ya marekani na nchi za Western. Juzi wamekuwa deported kurudi walipotoka.
hilo unaongea wewe tu, Mayahudi na Waisrael wamekuwa wakipewa vipande vya adhri ya Palestina tokea Under British rule, wameletwa pale kwenye ardhi ya Palestina kama Diaspora kabla ya mwaka 1948 ilipotangazwa kuwa ni nchi ya kimchongo, sasa kauli hiyo Iran ameitoa mwaka gani na tokea asili Israel wamekalia ardhi ya PalestinaPia alisema israel ikiingia ardhi ya palestina itakipata cha ,moto.
Tumeshuhudia wanaume wakiingia na kufanya yao hadi leo.
Kwamba lilikuwa ni Onyo, hayo ni maoni yako au?Walichokifanya kwa makombora ya Iran na onyo walilopewa ni kama kwamba wamejuta.
Tangu juzi wameweka wazi kuwa hawataruhusu anga lao liwe uwanja wa vita.Maana yake ni kuwa hata makombora na ndege za Israel nazo hawataruhusu zitumie anga lao.Hapo Israel itakuwa imebinywa kwenye eneo fulani.
Kwamba lilikuwa ni Onyo, hayo ni maoni yako au?
Maana kwa mujibu wa Iran aliapa kulipa kisasi kikubwa na akafyatua Mafataki 300 na drones sisi tukadhani wanasherehekea ‘Happy Nyu Year’ kumbe ndiyo kile kisasi na nyenye hata nyinyi mmeona Iran anafanya masikhara tu ila kwa kuwa mnajikakamua na mahaba niue mmeamua tu kujikaza na kuliita ni Onyo.
Ni onyo kwa Jordan na IsraelKwamba lilikuwa ni Onyo, hayo ni maoni yako au?
Maana kwa mujibu wa Iran aliapa kulipa kisasi kikubwa na akafyatua Mafataki 300 na drones sisi tukadhani wanasherehekea ‘Happy Nyu Year’ kumbe ndiyo kile kisasi na nyenye hata nyinyi mmeona Iran anafanya masikhara tu ila kwa kuwa mnajikakamua na mahaba niue mmeamua tu kujikaza na kuliita ni Onyo.
Mnasnza kazo kenu ka kuzidisha kwa tatu. Sifa yenu kubwa ni Chuki, uongo, uzandiki na ushirikina.Only 3% of missiles hit the target...mara ya kwanza walisema 1%....na hii namba itapqnda tu....sifa ya kwanza ya mzayuni ni uongo....beheaded babies mpk leo no evidence....waliporipua hospitali na kuua watu 500+ wqkasema ni makombora ya Hamas walipobanwa wakasema ni wao ila it was a mistake...sasahivi wanasema hawakupiga consulate bali walipiga jengo la pembeni na ubalozi...kila siku yanadanganya...halafu yanadanganya kijinga sana....tumezoea uongo wao....leo watasema binti kajeruhiwa...ila ipo siku watasema ukweli kwnn povu limewajaa Iran walaaniwe na kuwekewa vikwazo....mlisema hata jiwe halitarushwa...sasa yamesharushwa matofali....tunasubiri Netapaka amalize vikao arudishe majibu tuone mtanange...manenomaneno waachiwe wanawake