Jordan haiwezi kuufuta mkataba huo!Hapa iko kazi ! Netaniahu kachanganyikiwa wa jordan wanataka nchi yao imefute maelewano na Mayahudi manake iingie vitani ! Hapo yahudi kijasho kinamtoka huku Hamas, Kule Hezbollah ,kule Iran na Huku Jordan ! Duu sipati picha itakuwaje ! Baado Wamisri nao wakichachamaa ni lazima Yahudi akimbilie majini mamake