Jordan yaanza kujiweka mbali na Israel, imesikia onyo la Iran

Jordan haiwezi kuufuta mkataba huo!
 
Sasa ni mm au vyombo vya habari mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...mbona mnakuwa mazwazwa hivi....halafu hmu ndani nimeshaona mijitu ambayo imelishwa western propaganda yaani huwa inakwenda kama mikondoo...haijui ku reason kabisa...ikiambiwa wale waiba ardhi ni taifa teule inakubali tu....taifa teule li promote mambo ya ushoga kwli??...bdo ikaambiwa wale wazee wa taifq teule Wanaongoza kwa nguvu za kijeshi hapo Middle east na hakuna hata wa kuthubutu....hiyo inakubali....yaani inaishi as if ipo miaka ya 60 huko...Sasa watu wameshathubutu mnaanza kuja na sababu zingine za kifala...endeleeni hvyohvyo...ila tunapoelekea ni kwny Dunia yenye wababe wengi mtake msitake...empires zte huwa zinaanguka...na hyo ni history ambayo huwa inajirudia....Sasa tunapoelekea Kila mtu atamheshimu mwenzake maana hakuna anayejua nani ana nini chenye madhara....Netapaka amalize vikao arudishe mapigo... manenomaneno aachie wakinamama
 
Na wewe umelishwa propaganda za wapi? Au source yaki ndiyo ile ya โ€˜niamini mimi bro!โ€™

Endelea kusubiri hizo empire zianguke, maana mnavyoongea utadhani huwa zinajiangukia tu kama majani yaliyochoka yanavyoanguka kutoka juu ya mti.
 
Na wewe umelishwa propaganda za wapi? Au source yaki ndiyobile ya โ€˜niamini mimi bro!โ€™

Endelea kusubiri hizo empire zianguke, maana mnavyoongea utadhani huwa zinajiangukia tu kama majini yaliyochoka yanavyoanguka kutoka juu ya mti.D
dalili zote za kuanguka kama nyani mgonjwa zimeshatimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ