Hahaha Tanzania anaiharibu nani? Tanzania Samia hapendwi na asilimia 99% hakuchaguliwa lakini ni rais wa Tanzania, kwa hiyo USA ndio walimuweka madarakani?Najua unaropoka hauongei.
Kila kitu kinapimwa kwa percentage.
Au hukusoma hata hisabati wewe!??
Large percentange of Jordan citizens hawampendi kiongozi wao.
Kama ingekuwa kupigwa kura za wazi basi wale wanaotaka mfalme wa Jordan atoke madarakani watakuwa wengi.
GAIDI mkubwa duniani ni USA.
Jiulize hata Venezuela nchi ya wakristo wenzako wanamuita USA a nation of terror.
Sema naongea na kijana asiyejua lolote,nenda katafiti kwanza hii dunia kaiharibu nani kama sio USA.
Hivi unajua hata west Africa ni USA na France ndio wanafadhili blood diamonds!???
Yani wanafadhili makundi kufanya mauaji na fujo ili wanufaike kupata madini,halafu wewe unakuja KUHARISHA HAPA ukiisifia USA.
USA hiyo hiyo ndio inalazimisha mataifa ikiwemo taifa lako masikini Tanzania wakubali muswada wa mahusiano ya jinsia moja kwa mlengwa eti wa misaada ya kimataifa.
Halafu wewe unakuja hapa KUHARA mdomoni kuisifu USA.
MPUUZI KABISA WEWE.
Sielewi wapi viongozi wa kisiasa wanapendwa na raia wao. Kumbuka wananchi wengi huwa hawashiriki hata zoezi la kuchagua, kwasababu wanafahamu ghiliba za uchaguzi na matokeo yake.
Jordan inawezekana USA anaweka uongozi wenye manufaa kwa taifa, kama wafanyavyo kwa Palestina, lakini Wavaa kobaz hawataki.
Palestina tangu afariki Arafat, huyo Abas wanandai siyo kiongozi wao wana wataka HAMAS.
Wewe pia nakuona mlengo wako huo huo, unataka Jordan ingiliwe na vikundi vya KIGAIDI ndio useme wanapendwa 99.99%.
Kwasababu Jordan hawataki uhuni wa MAGAIDI basi wana bebwa na USA?