let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Obviously hapana,japo ni wakati ambao sitakuwepo na siujui.Unaamini hiyo dola ikishika hatamu itatoa fair treatment kwa imani zote?
ni moja ya kipindi kigumu sana kuwai tokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obviously hapana,japo ni wakati ambao sitakuwepo na siujui.Unaamini hiyo dola ikishika hatamu itatoa fair treatment kwa imani zote?
It will never happen. Kama itakuwa na misingi ya TalibanObviously hapana,japo ni wakati ambao sitakuwepo na siujui.
ni moja ya kipindi kigumu sana kuwai tokea.
🤣Hakuna vita ya kirafiki labda tufanye drills
definitely it WILL.It will never happen. Kama itakuwa na misingi ya Taliban
Hahaha unapendwa wewe na magaidi ya kiislam.Jordan mfalme wao HAPENDWI NA RAIA WAKE,hivyo usalama wa utawala wake ni kumshikilia USA.
Najua unaropoka hauongei.Hahaha unapendwa wewe na magaidi ya kiislam.
Hakuna kiongozi anayependwa na wananchi wote.
Swala la ulinzi na usalama hasa linapohusu magaidi USA hakisekani.
Kwasasa hata mkienda kufanya ugaid mwezini lazima mdhibitiwe na USA.
Hahahaha hawa wakristo kumbe hata bibilia yao hawaisomi wakaifahamu. Si mimi kila siku na wanbia Israel mana yake ni Yakobo sio taifa. Hawataki kufahamu huyu katubandika hapa kahighlighted kawacha mwanza hapo juu ikiongelea Yakobo. Ukitaka kujua hawa waimba kwaya ni ngo'mbe ndio hapo. Hi hapa attachment yake.
Labda tuwaulize bakwata 😂️😂️😂️😂️Hivi na sisi kama taifa tunaweza kujitokeza na kutoa tamko kama hili kwa hali tuliyo nayo
Nikisema kama umoja hawana iran anapiga porojo hapo starter wengine wameambiwa wasitangaze watoe onyo kwa vtendoNchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Kwahiyo hao Watoto wa Yakobo hawawezi kuwa taifa. 😂️😂️😂️😂️😂️. Dini ni sumu kuliko sumu yenyewe.Hahahaha hawa wakristo kumbe hata bibilia yao hawaisomi wakaifahamu. Si mimi kila siku na wanbia Israel mana yake ni Yakobo sio taifa. Hawataki kufahamu huyu katubandika hapa kahighlighted kawacha mwanza hapo juu ikiongelea Yakobo. Ukitaka kujua hawa waimba kwaya ni ngo'mbe ndio hapo. Hi hapa attachment yake.
View attachment 3060366
Safi sana hapo umeongea patamu bibilia inasema wamepewa Ethopia mbona hamsemi Ethopia taifa la Mungu, pia imesema Sebah wewe unajua wapi hapo? Sijuzi tu mlifurahia kuona matank ya mafuta yakiwashwa moto na US kwanini Yemen isiwe taifa teule basi 😄Kwahiyo hao Watoto wa Yakobo hawawezi kuwa taifa. 😂️😂️😂️😂️😂️. Dini ni sumu kuliko sumu yenyewe.
Sasa si uende hapo mashariki ya kati ukawachambue watoto wa Yakobo na wasio wa Yakobo mbona inaonekana kwako ni rahisi tu 😀 😀 😀 😀Safi sana hapo umeongea patamu bibilia inasema wamepewa Ethopia mbona hamsemi Ethopia taifa la Mungu, pia imesema Sebah wewe unajua wapi hapo? Sijuzi tu mlifurahia kuona matank ya mafuta yakiwashwa moto na US kwanini Yemen isiwe taifa teule basi 😄
Kila siku nikiwafahamisha watoto wa Yakobo 12 sio wote walikuwa Wayahudi na si wote Wayahudi ni watoto wa Yakobo mnabisha. Katika watoto 12 wamegawanyika mataifa pia mbali mbali we kasome vizuri ndio utaelewa.
Kwanza ukifata back ground kabisa Ibrahim hakuwa Myahudi hata chembe Wala Muarabu hata chembe bado uarabu upo kwenye shombo sababu alizaliwa Iraq, vipi azae Wayahudi na Warabu 😄 Hapa kaiulize bibilia basi kama itakusaidia.
Ethopia vipi 😄Sasa si uende hapo mashariki ya kati ukawachambue watoto wa Yakobo na wasio wa Yakobo mbona inaonekana kwako ni rahisi tu 😀 😀 😀 😀
Umesema Ibrahimu alitoka Iraki sasa sema alienda wapi na alienda kufanya nini. Nini kilimtoa Iraki.Ethopia vipi 😄
Watu wa dini wanataka madaraka ya nini wakati kazi yao ni kueneza dini? Hawa wataka madaraka sio watu wa dini ila wanataka kutumia dini kutimiza nia zao. Wabakie kwenye dini watufundishe dini.Aiseee nilikua sijui hili.
Huu mfumo wa kugawana madaraka kwa misingi ya dini we unaonaje liko sawa kweli kwa ustawi wa taifa?
Yule alikuwa ni Mtume toka utoto wake hakuwahi kuabudu masanamu kama mnavyo amini wakristo, Hindus na Bhudas nyie wote mnabudu masanamu. Nyie pia mnasema binadamu ni Mungu, mhindi anasema ngo'mbe ni Mungu, na Bhudas lisanamu kubwa ndio Mungu 😄Umesema Ibrahimu alitoka Iraki sasa sema alienda wapi na alienda kufanya nini. Nini kilimtoa Iraki.
Acha kukimbia swali. Ulisema Ibrahimu alitoka Iraki. Ssa sema alitoka kwenda wapi na nini kilimtoa Iraki. Swali rahisi tu. Sijakuuliza watu wengine wanaabudu nini usisumbuke kueleza usichoulizwa.Yule alikuwa ni Mtume toka utoto wake hakuwahi kuabudu masanamu kama mnavyo amini wakristo, Hindus na Bhudas nyie wote mnabudu masanamu. Nyie pia mnasema binadamu ni Mungu, mhindi anasema ngo'mbe ni Mungu, na Bhudas lisanamu kubwa ndio Mungu 😄
Nabii Ibrahim alikuwa ana pewa amri na Mungu toka utotoni kwa kupewa akili hichi kizuri na hichi kibaya na badaye akawa Mtume wa Mwenyezi Mungu anapo enda ni Amri ya Mungu.
Kuna lingine.
Alienda Ardhi ya Kinan ambayo kwa sasa inajulikana kama Lebanon, Syria, Palestine. na EgyptAcha kukimbia swali. Ulisema Ibrahimu alitoka Iraki. Ssa sema alitoka kwenda wapi na nini kilimtoa Iraki. Swali rahisi tu. Sijakuuliza watu wengine wanaabudu nini usisumbuke kueleza usichoulizwa.