Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Jordan mfalme wao HAPENDWI NA RAIA WAKE,hivyo usalama wa utawala wake ni kumshikilia USA.
Hahaha unapendwa wewe na magaidi ya kiislam.
Hakuna kiongozi anayependwa na wananchi wote.
Swala la ulinzi na usalama hasa linapohusu magaidi USA hakisekani.
Kwasasa hata mkienda kufanya ugaid mwezini lazima mdhibitiwe na USA.
 
Hahaha unapendwa wewe na magaidi ya kiislam.
Hakuna kiongozi anayependwa na wananchi wote.
Swala la ulinzi na usalama hasa linapohusu magaidi USA hakisekani.
Kwasasa hata mkienda kufanya ugaid mwezini lazima mdhibitiwe na USA.
Najua unaropoka hauongei.
Kila kitu kinapimwa kwa percentage.
Au hukusoma hata hisabati wewe!??
Large percentange of Jordan citizens hawampendi kiongozi wao.
Kama ingekuwa kupigwa kura za wazi basi wale wanaotaka mfalme wa Jordan atoke madarakani watakuwa wengi.
GAIDI mkubwa duniani ni USA.
Jiulize hata Venezuela nchi ya wakristo wenzako wanamuita USA a nation of terror.
Sema naongea na kijana asiyejua lolote,nenda katafiti kwanza hii dunia kaiharibu nani kama sio USA.
Hivi unajua hata west Africa ni USA na France ndio wanafadhili blood diamonds!???
Yani wanafadhili makundi kufanya mauaji na fujo ili wanufaike kupata madini,halafu wewe unakuja KUHARISHA HAPA ukiisifia USA.
USA hiyo hiyo ndio inalazimisha mataifa ikiwemo taifa lako masikini Tanzania wakubali muswada wa mahusiano ya jinsia moja kwa mlengwa eti wa misaada ya kimataifa.
Halafu wewe unakuja hapa KUHARA mdomoni kuisifu USA.
MPUUZI KABISA WEWE.
 
Hivi na sisi kama taifa tunaweza kujitokeza na kutoa tamko kama hili kwa hali tuliyo nayo
Labda tuwaulize bakwata πŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈ
 
Nikisema kama umoja hawana iran anapiga porojo hapo starter wengine wameambiwa wasitangaze watoe onyo kwa vtendo
 
Kwahiyo hao Watoto wa Yakobo hawawezi kuwa taifa. πŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈ. Dini ni sumu kuliko sumu yenyewe.
 
Kwahiyo hao Watoto wa Yakobo hawawezi kuwa taifa. πŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈ. Dini ni sumu kuliko sumu yenyewe.
Safi sana hapo umeongea patamu bibilia inasema wamepewa Ethopia mbona hamsemi Ethopia taifa la Mungu, pia imesema Sebah wewe unajua wapi hapo? Sijuzi tu mlifurahia kuona matank ya mafuta yakiwashwa moto na US kwanini Yemen isiwe taifa teule basi πŸ˜„

Kila siku nikiwafahamisha watoto wa Yakobo 12 sio wote walikuwa Wayahudi na si wote Wayahudi ni watoto wa Yakobo mnabisha. Katika watoto 12 wamegawanyika mataifa pia mbali mbali we kasome vizuri ndio utaelewa.

Kwanza ukifata back ground kabisa Ibrahim hakuwa Myahudi hata chembe Wala Muarabu hata chembe bado uarabu upo kwenye shombo sababu alizaliwa Iraq, vipi azae Wayahudi na Warabu πŸ˜„ Hapa kaiulize bibilia basi kama itakusaidia.
 
Sasa si uende hapo mashariki ya kati ukawachambue watoto wa Yakobo na wasio wa Yakobo mbona inaonekana kwako ni rahisi tu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Aiseee nilikua sijui hili.
Huu mfumo wa kugawana madaraka kwa misingi ya dini we unaonaje liko sawa kweli kwa ustawi wa taifa?
Watu wa dini wanataka madaraka ya nini wakati kazi yao ni kueneza dini? Hawa wataka madaraka sio watu wa dini ila wanataka kutumia dini kutimiza nia zao. Wabakie kwenye dini watufundishe dini.
 
Umesema Ibrahimu alitoka Iraki sasa sema alienda wapi na alienda kufanya nini. Nini kilimtoa Iraki.
Yule alikuwa ni Mtume toka utoto wake hakuwahi kuabudu masanamu kama mnavyo amini wakristo, Hindus na Bhudas nyie wote mnabudu masanamu. Nyie pia mnasema binadamu ni Mungu, mhindi anasema ngo'mbe ni Mungu, na Bhudas lisanamu kubwa ndio Mungu πŸ˜„

Nabii Ibrahim alikuwa ana pewa amri na Mungu toka utotoni kwa kupewa akili hichi kizuri na hichi kibaya na badaye akawa Mtume wa Mwenyezi Mungu anapo enda ni Amri ya Mungu.

Kuna lingine.
 
Acha kukimbia swali. Ulisema Ibrahimu alitoka Iraki. Ssa sema alitoka kwenda wapi na nini kilimtoa Iraki. Swali rahisi tu. Sijakuuliza watu wengine wanaabudu nini usisumbuke kueleza usichoulizwa.
 
Acha kukimbia swali. Ulisema Ibrahimu alitoka Iraki. Ssa sema alitoka kwenda wapi na nini kilimtoa Iraki. Swali rahisi tu. Sijakuuliza watu wengine wanaabudu nini usisumbuke kueleza usichoulizwa.
Alienda Ardhi ya Kinan ambayo kwa sasa inajulikana kama Lebanon, Syria, Palestine. na Egypt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…