Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhan ametwaliwaHuyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja
Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani hakuna kuzima moto.
.
Ngoma ipi ilikubamba toka Kwa Jose?
.
1.Jamilla
2.Dorotia
3.Shida za Dunia
4.Bahati yangu
5.Sauti ya Thabu
6.Bombo Clat Ft Weasel
7.Bei Kali
8.Ndivyo sivyo Ft Prof Jay
9.Tubonge
10.Mama Roda Ft Bushoke
11.Valuvalu
12: Badilisha
13: Kipepeo
14: Walewale
Hii title ya dokta umeitoa wapi? Unauhakika ana qualification hizo?Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja
Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani hakuna kuzima moto.
.
Ngoma ipi ilikubamba toka Kwa Jose?
.
1.Jamilla
2.Dorotia
3.Shida za Dunia
4.Bahati yangu
5.Sauti ya Thabu
6.Bombo Clat Ft Weasel
7.Bei Kali
8.Ndivyo sivyo Ft Prof Jay
9.Tubonge
10.Mama Roda Ft Bushoke
11.Valuvalu
12: Badilisha
13: Kipepeo
14: Walewale
Sasa kama hawa wanasiasa wenu uchwara mnawabandika heshima za udaktari kwa nini isiwe kwa Dr Jozee alietumikisha akili yake kupika mziki mzuri wana africa na dunia tukaenjoy...Jozee deserves!Hii title ya dokta umeitoa wapi? Unauhakika ana qualification hizo?
ni wana siasa wachache walioingia darasani na kuisotea PHD, hao the rest hawastahili , ni sawa na dr maji marefuSasa kama hawa wanasiasa wenu uchwara mnawabandika heshima za udaktari kwa nini isiwe kwa Dr Jozee alietumikisha akili yake kupika mziki mzuri wana africa na dunia tukaenjoy...Jozee deserves!
Hakujirusha.Alifanya Vizuri Sana Kwa Wakati Wake.
Sema Kuna Lile Tukio Lake La Kujirusha Toka Ghorofani Pale Alianza Matukio Yasiyoeleweka Na Ukimya Ukazidi Kwenye Mziki
Nimekupata mkuuHakujirusha.
Jamaa ni sleepwalker so alidondoka