Jose Chameleon: Msanii aliyeitikisa Afrika Mashariki

Nilidhan ametwaliwa
 
Hii title ya dokta umeitoa wapi? Unauhakika ana qualification hizo?
 
Sasa kama hawa wanasiasa wenu uchwara mnawabandika heshima za udaktari kwa nini isiwe kwa Dr Jozee alietumikisha akili yake kupika mziki mzuri wana africa na dunia tukaenjoy...Jozee deserves!
ni wana siasa wachache walioingia darasani na kuisotea PHD, hao the rest hawastahili , ni sawa na dr maji marefu
 
Ana ngoma nyingi kali, lakini MAMA Rhoda naipenda zaidi, kiitikio bushoke alitulia
 
Jose chameleone
huyo mzungu ndo alimpa miwaya?

Legend tumuombee kuna video inamuonesha amerud tena hospital akiwa amedhoofu
 
For some reason muziki wake unanikumbusha muziki wa kwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…