Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina maana Jose Chameleon anamzidi Diamond kwa ukwasi?Marijani Rajabu
labda ubadili heading uandike msanii tajiri zaidi A.mashariki
Usisahau Uganda wana Eddy Kenzo kwenye hiki kizazi cha Diamond, nilitaka kumpinga aliyeleta thread lakini nimeishia kukubaliana naye. Jose ni GOAT kwa EA.Ten years back! ila now Keshaachwa mbali sana na Domo