Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
Usisahau Uganda wana Eddy Kenzo kwenye hiki kizazi cha Diamond, nilitaka kumpinga aliyeleta thread lakini nimeishia kukubaliana naye. Jose ni GOAT kwa EA.