Jose Chameleone asikitishwa na mke wake kudai talaka na mgawanyo wa mali

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,398
Reaction score
2,619
Mke wa msanii kutoka Uganda Jose Chameleone aitwae Daniella ambaye wameishi kwenye ndoa kwa miaka 17 amepeleka kesi mahakamani ya kudai talaka na mgawanyo wa mali .

Hata hivyo Jose Chameleone amepinga kulazimishwa kusaini wosia wa mgawanyo wa mali wakati yeye akiwa bado hai na mzima wa afya. Bwana Chameleone amesisitiza mali walizochuma na mke wake ni mali za watoto wao kitu ambacho mke wake amepinga kwa nguvu sana na kusisitiza lazima wagawane mali.

Hii kitu imemkumba rafiki yangu, ana nyumba nyingi sana, sasa kesi mahakamani mke anataka pasu kwa pasu. Hatari sana!!.
Pasu Kwa pasu Kwa mchango gani wa hiyo pasu Kwa pasu?

Mfano tuchukulie labda ni shamba muulize anajua hata bei ya shamba au ya mbolea au ya kulipa kibarua?

Kama vyote hivyo hajui unawezaje sema mtu amechangia mgawane pasu Kwa pasu?
 
Haya mambo huwa yanavuruga sana hasa ikiwa ulipitia nyakati ngumu kufikia hapo ulipo.......kwa kweli nyakati hizi kuoa ni kujitafutia matatizo tu na vifo vya mapema kabisa.....

Imagine unaishi na mke miaka dahali kumbe yupo kimkakati na misheni ikikamilika ndio wa kwanza kukubadilikia......

Kwa kweli hali inatisha sana na kuogofya kupita maelezo watu wanaviziana sana kwenye ndoa za siku hizi!!!!
 
Ndoa ni changamoto sana heshima kati yenu ikikosekana.
 
Hii kitu imemkumba rafiki yangu, ana nyumba nyingi sana, sasa kesi mahakamani mke anataka pasu kwa pasu. Hatari sana!!.
Haya mambo yasikien mbali tu, jmn ombeni sana yasiwakute, muhusika hata akitoboa kichwani hatobaki the same
 
Pasu Kwa pasu Kwa mchango gani wa hiyo pasu Kwa pasu?

Mfano tuchukulie labda ni shamba muulize anajua hata bei ya shamba au ya mbolea au ya kulipa kibarua?

Kama vyote hivyo hajui unawezaje sema mtu amechangia mgawane pasu Kwa pasu?
Ukitaka kumkomoa mwanamke mwenye tamaa, usihangaike kubishana naye. Mpe mali zisizohamishika. Nakuapia ukirudii baada ya miaka 5 ukamkuta bado anamiliki hizo mali kwa asilimia hata 60 basi ujue kabisa wewe ndiwe ulikuwa na makosa.
 
Back
Top Bottom