Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,549
Kama uko kwenye ndoa na Kila kitu unafanya unamshirikisha mkeo, Kuna siku usiyoijua atakufurahisha.
Pumbavu kabisa.
Pumbavu kabisa.
Wanasema mwanamke ni mvumilivu kuliko wanajeshi vitani, anaweza kaa zaidi miaka 10 bila kuonyesha rangi zake, halafu boom!!Haya mambo huwa yanavuruga sana hasa ikiwa ulipitia nyakati ngumu kufikia hapo ulipo.......kwa kweli nyakati hizi kuoa ni kujitafutia matatizo tu na vifo vya mapema kabisa.....
Imagine unaishi na mke miaka dahali kumbe yupo kimkakati na misheni ikikamilika ndio wa kwanza kukubadilikia......
Kwa kweli hali inatisha sana na kuogofya kupita maelezo watu wanaviziana sana kwenye ndoa za siku hizi!!!!
😆😆Wanasema mwanamke ni mvumilivu kuliko wanajeshi vitani, anaweza kaa zaidi miaka 10 bila kuonyesha rangi zake, halafu boom!!
kukupa mbususuPasu Kwa pasu Kwa mchango gani wa hiyo pasu Kwa pasu?
Mfano tuchukulie labda ni shamba muulize anajua hata bei ya shamba au ya mbolea au ya kulipa kibarua?
Kama vyote hivyo hajui unawezaje sema mtu amechangia mgawane pasu Kwa pasu?
Bei yake ni kiasi gani? Mbususu zinauzwa kibao tuukukupa mbususu
Ila kweli jamani first ladies tunawajua na huwa wapo front kwanini jentroman haonekaniMnaolea nini na nyinyi. Wanawake hawafai jiulize why mume wa mama hana mke tena mama ni Rais.
sasa kama mke ni mama wa nyumbani na sheria ni pasu pasu unafkri mchango wake nini tofauti na mbususu?Bei yake ni kiasi gani? Mbususu zinauzwa kibao tuu
Mhsasa kama mke ni mama wa nyumbani na sheria ni pasu pasu unafkri mchango wake nini tofauti na mbususu?
NILIJUA TANZANIA TUUMke wa msanii kutoka Uganda Jose Chameleone aitwae Daniella ambaye wameishi kwenye ndoa kwa miaka 17 amepeleka kesi mahakamani ya kudai talaka na mgawanyo wa mali .
Hata hivyo Jose Chameleone amepinga kulazimishwa kusaini wosia wa mgawanyo wa mali wakati yeye akiwa bado hai na mzima wa afya. Bwana Chameleone amesisitiza mali walizochuma na mke wake ni mali za watoto wao kitu ambacho mke wake amepinga kwa nguvu sana na kusisitiza lazima wagawane mali.
Fanicha hubadilishwa 😂😂😂Mwanamke sio fanicha kwamba ukimuoa umemaliza
kidunia ndoa ni faida kwa mwanamke
Mwezinimeshaandika sana madaza ndoaa wee kwa sasa nitaanza kuandika mamboyatalaka na uandikishaji wamalizako ukiwahai
DuhKatika vitu hutakiwi kukosea ni kuoa, utajuta maisha yako yote.
Ikikupendeza ishi bila Mke.
Nikiwa tajiri kuoa ni lazima.Ndoa sasa inabidi iwe zetu makapuku, ukiwa tajiri usioe.. maana hapa unaweza kuua mtu.
Kuliko kuona, bora hiyo hela ya sherehe ninunue x4 awdIli swala la kuoa qmk linafikirisha sana.