Jose Chameleone asikitishwa na mke wake kudai talaka na mgawanyo wa mali

Jose Chameleone asikitishwa na mke wake kudai talaka na mgawanyo wa mali

Endeleeni kushirikisha wake zenu kweenye kila unachonunua
Hi tamu aanze mke kutokumshirikisha mume, then mume we malizia maana sababu tayari unayo ya kutokumshirikisha mke ila inabidi uicheze kwa weledi la sivyo inaweza backfire ikala kwako
 
Ukitaka kumkomoa mwanamke mwenye tamaa, usihangaike kubishana naye. Mpe mali zisizohamishika. Nakuapia ukirudii baada ya miaka 5 ukamkuta bado anamiliki hizo mali kwa asilimia hata 60 basi ujue kabisa wewe ndiwe ulikuwa na makosa.
Si anapiga beii anapata mihela
 
Mke wa msanii kutoka Uganda Jose Chameleone aitwae Daniella ambaye wameishi kwenye ndoa kwa miaka 17 amepeleka kesi mahakamani ya kudai talaka na mgawanyo wa mali .

Hata hivyo Jose Chameleone amepinga kulazimishwa kusaini wosia wa mgawanyo wa mali wakati yeye akiwa bado hai na mzima wa afya. Bwana Chameleone amesisitiza mali walizochuma na mke wake ni mali za watoto wao kitu ambacho mke wake amepinga kwa nguvu sana na kusisitiza lazima wagawane mali.

Ndoa ndoana
 
Hivi, kuna mwanaume aliyewekwa ndani na kimada, mambo yakaenda mrama, kisha mwanaume huyo akadai apigwe pasu kwa pasu?

nyakati, nyingine wanaume hupaswa kuwasoma wanawake zao, mapema kimkakati, hii itasaidia kutokuweka kila kitu bayana. mwanamke wa ukweli, hapotei.... we cheza na hisia zake, ila usiruhusu achezee mali zako, ukishagundua ni kimeo.
 
Fursa ndiyo kitu pekee mwanamke anatafuta kwa mwanaume, Mungu alitutahadhisha tuishi nao kwa akili!
Muulize Samson kilichomkuta kwa Delila🤣🤣
 
Back
Top Bottom