Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Pasu Kwa pasu Kwa mchango gani wa hiyo pasu Kwa pasu?Hii kitu imemkumba rafiki yangu, ana nyumba nyingi sana, sasa kesi mahakamani mke anataka pasu kwa pasu. Hatari sana!!.
Mnawaendekeza hao... ndiyo maana Kuna wanaume wanaona hizo mali ni bora ukazipatie kaburini...Hii kitu imemkumba rafiki yangu, ana nyumba nyingi sana, sasa kesi mahakamani mke anataka pasu kwa pasu. Hatari sana!!.
Ndoa ni changamoto sana heshima kati yenu ikikosekana.Haya mambo huwa yanavuruga sana hasa ikiwa ulipitia nyakati ngumu kufikia hapo ulipo.......kwa kweli nyakati hizi kuoa ni kujitafutia matatizo tu na vifo vya mapema kabisa.....
Imagine unaishi na mke miaka dahali kumbe yupo kimkakati na misheni ikikamilika ndio wa kwanza kukubadilikia......
Kwa kweli hali inatisha sana na kuogofya kupita maelezo watu wanaviziana sana kwenye ndoa za siku hizi!!!!
Kwa kweli ni kuishi kwa mashaka mashaka tu huku mkiviziana.....Ndoa ni changamoto sana heshima kati yenu ikikosekana.
So sadKwa kweli ni kuishi kwa mashaka mashaka tu huku mkiviziana.....
Haya mambo yasikien mbali tu, jmn ombeni sana yasiwakute, muhusika hata akitoboa kichwani hatobaki the sameHii kitu imemkumba rafiki yangu, ana nyumba nyingi sana, sasa kesi mahakamani mke anataka pasu kwa pasu. Hatari sana!!.
Ukitaka kumkomoa mwanamke mwenye tamaa, usihangaike kubishana naye. Mpe mali zisizohamishika. Nakuapia ukirudii baada ya miaka 5 ukamkuta bado anamiliki hizo mali kwa asilimia hata 60 basi ujue kabisa wewe ndiwe ulikuwa na makosa.Pasu Kwa pasu Kwa mchango gani wa hiyo pasu Kwa pasu?
Mfano tuchukulie labda ni shamba muulize anajua hata bei ya shamba au ya mbolea au ya kulipa kibarua?
Kama vyote hivyo hajui unawezaje sema mtu amechangia mgawane pasu Kwa pasu?
😆😆Ngoja kataa ndoa waje huku wakiwa wamefura kwa hasira!