Jose Chameleone asikitishwa na mke wake kudai talaka na mgawanyo wa mali

Endeleeni kushirikisha wake zenu kweenye kila unachonunua
Hi tamu aanze mke kutokumshirikisha mume, then mume we malizia maana sababu tayari unayo ya kutokumshirikisha mke ila inabidi uicheze kwa weledi la sivyo inaweza backfire ikala kwako
 
Ukitaka kumkomoa mwanamke mwenye tamaa, usihangaike kubishana naye. Mpe mali zisizohamishika. Nakuapia ukirudii baada ya miaka 5 ukamkuta bado anamiliki hizo mali kwa asilimia hata 60 basi ujue kabisa wewe ndiwe ulikuwa na makosa.
Si anapiga beii anapata mihela
 
Ndoa ndoana
 
Hivi, kuna mwanaume aliyewekwa ndani na kimada, mambo yakaenda mrama, kisha mwanaume huyo akadai apigwe pasu kwa pasu?

nyakati, nyingine wanaume hupaswa kuwasoma wanawake zao, mapema kimkakati, hii itasaidia kutokuweka kila kitu bayana. mwanamke wa ukweli, hapotei.... we cheza na hisia zake, ila usiruhusu achezee mali zako, ukishagundua ni kimeo.
 
Fursa ndiyo kitu pekee mwanamke anatafuta kwa mwanaume, Mungu alitutahadhisha tuishi nao kwa akili!
Muulize Samson kilichomkuta kwa Delila🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…