Jose Chameleone asikitishwa na mke wake kudai talaka na mgawanyo wa mali

Kama uko kwenye ndoa na Kila kitu unafanya unamshirikisha mkeo, Kuna siku usiyoijua atakufurahisha.

Pumbavu kabisa.
 
Wanasema mwanamke ni mvumilivu kuliko wanajeshi vitani, anaweza kaa zaidi miaka 10 bila kuonyesha rangi zake, halafu boom!!
 
NILIJUA TANZANIA TUU

AISEEEE HADI UGANDA

NDOA IMEKUWA N CANCER

KILA KONA
 
MKIAMBIWA HAWA WATU ISHINI NAO KWA AKILI HAMTAKII

ANDIKENI MALIZENU BASI WATOTO AMA MAMA ZENU

HAMTAKI MNAWAONAKAMA WAMETOKA MBINGUNI KUMBE WANASUBIRI MDA WAANZEE YAOOO
 
nimeshaandika sana madaza ndoaa wee kwa sasa nitaanza kuandika mamboyatalaka na uandikishaji wamalizako ukiwahai
 
Katika vitu hutakiwi kukosea ni kuoa, utajuta maisha yako yote.

Ikikupendeza ishi bila Mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…