Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
mmmhhhh...!!!waandishi wachonganishi sana
Shikamoooo Jozee Chamilioneee, we ni bonge la msanii nakukubali sana.
nimeangalia wasanii wengi unakuta uvaaji mzuri ila miwani inaharibu mwonekano wote,kuna siri gani kwenye miwani?kuna watu hawapendezi wakivaa miwani?au pia inatakiwa uchaguaji wa miwani.Miwani utasems fundi wa welding.
Hili halina mjadala...Shikamoooo Jozee Chamilioneee, we ni bonge la msanii nakukubali sana.
Jamaa ka mantain kitambo sana bado yupo vizuri.
Sio mchanga lakini hapa anaonesha ni immature coz' kuomba collabo haina maana kwamba aombae ni mchanga au hawezi kusimama peke yake... huu ni ushamba na ulimbukeni coz' sitaki kuamini kwamba hadi anaingia kaburini hatakuja kumshirikisha msanii yoyote East Africa achilia mbali Afrika!! Mtu unaweza kuwa legend lakini bado ukafanya kazi na msanii aliye mdogo kwako kama ambavyo Professa J alipoamua kumshirikisha Diamond...
" Siko katika level ya kuomba collabo kihivyo, sio kwamba sina heshima yake (Diamond) ila hiyo sio sahihi na haiwezi kuwa hivyo. Nimekuwa nikifanya muziki kwa miaka 14 na mimi sio msanii mchanga wa kuhangaikia collabo" amesema Jose Chameleon. Chanzo: EATV
Kuomba kolabo haina maana kwamba hujui au ni msanii mdogo... unaweza kuomba kolabo kwa ajili ya kuchanganya ladha au kuteka soko la eneo fulani ambako unaamini mwenzako (hata kama ni mdogo kwako) anakubalika zaidi kuliko unavyokubalika wewe!!!Ushaona eeh,jamaa funiko sio wakuomba kolabo huyu.
Tena afadhali huu uzushi umeanzia huko huko Uganda vinginevyo wale wasioishiwa viroja wangekuja hapa na kusema Diamond anatafuta kick... jamaa wameshajua kwamba jina la Diamond linauza kwahiyo ukiandika chochote kuhusu Diamond lazima kitakua the talk of East Africa! Waganda wamemuona Zarinah akija Tanzania akiwa na followers instagram about 35,000 lakini baada ya ku-mingle na Diamond number ika-shoot na kufika above 50K in two weeks!!!