Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
No
Chameleon ni level nyingine aiseeeee
Chameleon ni level nyingine aiseeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muuza Sura
Huyo niliyemwakia hapo juu mara kibao sana alikuwa ananitukana lakini nilikuwa nampotezea hadi siku nilipomwambia leo mwisho... mtu akinizingua hata baada ya kumkanya, simwachi na huwa siangalii jinsia!! Nazungumza hilo la jinsia coz' jamvi la celebrities limejaa mademu na wana lugha chafu ajabu lakini ukiwakanya inakuwa ndo kama umewaambia wazidishe... ukiwageuzia kibao utawasikia "mwanaume mzima unagombana na mademu...!" utafikiri wao ndo wamepewa leseni ya kuwatolea wenzao maneno machafu!!!
Sijawahi kuwa na mapenzi Niue kwa diamond hata siku moja ila pia simchukii. Ukweli toka amrikodi Wema nilimpuuza kupita maelezo. Binafsi sipendi wanaume wadhalilishaji wasioheshimu wanawake (ambacho diamond anafanya pia) so obviously hata akimrudia Wema nitabakia tu kumthamini Wema (as nampenda sio kiushabiki). Kwa diamond atabaki tu kuwa binadam mwenzangu.
Hata zari siku yake itafika tu ya kudhalilishwa manake amejiingiza kwenye drama za watoto. Nilimpenda Sana nikijua anajiheshimu ila toka ashuke Tz kufanya drama na file lake nilipate bhaaas na yeye ni mdhalilisha wanaume. So two players make the playlist hahahah
Usipindishe Uzi mjadala ni wa Jose na diamond sitajibu tena OP. Namtndea haki jose
Money makers talk less... U know le big moneyz east Africa nzima kwa wasanii wote. Ndo ashamaliza hivyo na ni kweli ushabiki pembeni.