Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

[h=1][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][/h][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Chameleone amesema kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya Afrika Mashariki.[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]“Lakini we talked about business na hatujamalizana nao. Lakini sio eti mimi nimempigia (Diamond) kumuomba tufanye collabo na kitu kama[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]hicho,” amesema Chameleone. “Wale wa Mziiki app ndo wanahitaji mimi na yeye tufanye kazi ya anthem ya Mziiki app. Wanajaribu kuunganisha yeye na mimi tufanye collaboration lakini sio eti mimi nimemu whatsapp na nimemuomba collaboration , that’s not right,” CHANZO UG >>>[/FONT]
[/FONT]
 
mi kitu nachoshindwa kuelewa kuwa legend huwa ina sifa gani pale unapokuja kufunikwa na madogo,profesa jay leo akiacha mziki sidhani kama itachukua attention ya watu,ila diamond aseme naacha mziki watu watamwelewaje,sasa kuwa legend ina sifa gani hasa!

Acha kuwa kubwajinga, kila mfalme na zama zake. Unategemea leo hii Ronaldinho acheze mpira kama anavyocheza Neymar? Unategemea Ronaldinho wa sasa apate attention kubwa ya media kama ya Neymar? Je, kufunikwa kwake na Neymar kwa sasa kunakuondolea heshima yake ya uLEGEND?
 
Sijawahi kuwa na mapenzi Niue kwa diamond hata siku moja ila pia simchukii. Ukweli toka amrikodi Wema nilimpuuza kupita maelezo. Binafsi sipendi wanaume wadhalilishaji wasioheshimu wanawake (ambacho diamond anafanya pia) so obviously hata akimrudia Wema nitabakia tu kumthamini Wema (as nampenda sio kiushabiki). Kwa diamond atabaki tu kuwa binadam mwenzangu.
Hata zari siku yake itafika tu ya kudhalilishwa manake amejiingiza kwenye drama za watoto. Nilimpenda Sana nikijua anajiheshimu ila toka ashuke Tz kufanya drama na file lake nilipate bhaaas na yeye ni mdhalilisha wanaume. So two players make the playlist hahahah
Usipindishe Uzi mjadala ni wa Jose na diamond sitajibu tena OP. Namtndea haki jose

Umeandika vyema sana. Kuanzia leo naanza kufuatilia maandiko yako. Umenivutia.
 
Mmesikia ndomo anafanya remix na R Kelly Storm is over?.
 
uwezi kuzungumzia bongofleva bila kumtaja diamond..dogo yuko juu sana..
 
10527275_1079955278685556_8741350883259619801_n.jpg

Msanii kutoka Uganda, Jose Chamelleone.

Msanii Jose Chameleone wa Uganda amekanusha habari zilizoandikwa mitandaoni kuwa amemuomba Diamond Platnumz kufanya collabo.

" Siko katika level ya kuomba collabo kihivyo, sio kwamba sina heshima yake (Diamond) ila hiyo sio sahihi na haiwezi kuwa hivyo. Nimekuwa nikifanya muziki kwa miaka 14 na mimi sio msanii mchanga wa kuhangaikia collabo" amesema Jose Chameleon.

Chanzo: EATV

Kumbe yeye ni msanii mkubwa
 
Tuacheni sifa za kijinga Jozeeee ni mwanamuziki mkubwa huwezi hata kidogo kumfananisha na huyo domo
 
Back
Top Bottom