Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Mtu na mmemwenzie chamelon kala zari na domo nae kadumbukia humo kweli usikubali mchangie kila kitu
Hehehe dogo amekula kombo LA jose alafu wale tena songi kwa pamoja? Money maker Jose amefuta uvumi kiroho safi tu. Tusiyakuzemo
 
Money maker mwenyewe huraaaaaaaaaaa waache sisimizi wakanyagane wewe ni Tembo hata ukimkanyaga atapotelea kwenye nyayo zako na hawezi acha hata alama ya mguu) BTP I lap u joseee ni Joseph na jozeee (in prof jayz voice).

Ukiguswa najua utaquote tu

Na siqoute sasa kwa hasira
 
Ni sifa tu ambazo hazina tangible benefits... hata huko US ambako ndo kuna magwiji kwenye game, tunawaona wale waliokuwa wanatamba enzi hizo wakiwashirikisha wanaotamba hivi sasa na ndio maana huwa nashangaa sana watu ambao wanaona ni big deal linapokuja suala la X kuomba kumshirikisha Y... yaani kuna watu, including wanamuziki wenyewe wanaona kama ni kashfa wakati ni jambo la kawaida sana...

Mkuu umenena...ila naomba sana usifananishe mziki wa huko US na huu mziki wetu usio na misingi wala kuheshimiana....kwa wenzetu ili uwe legend lazima uwe umefanya makubwa yasiyopingika mfano kuwa inacted ktk hall of fame ya partcular music genre mfano pop,rock,country nk na hao wanaoitwa legends kwel wanaheshimika kwa michango yao ktk huo mziki na jamii...mfano; Charlie Wilson,Michael Jackson,Aretha Franklin nk

Sasa tofauti kabisa na huku kwetu hakuna kuheshimiana,msanii anafanya mziki instagram kucha kutwa kutupiana vijembe na wanaotoka wanavimba vichwa na kudharau wengine nk
 
Kupishana kauli wangu mbona kawaida sana... tena nikupe siri moja manake tumefahamiana hivi majuzi tu... suala la kupishana kauli kwangu nimeshalizoea sana tu... huku celebrities mie nakujaga kucheki watoto wazuri kama nyinyi tu lakini jukwaa langu ni la siasa... kule sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu kwavile mawazo yangu yapo too independent... leo nitakufurahisha kesho nitakuboa! Na ajabu zaidi, watu ambao mara kwa mara huwa na-mingle nao humu jamvini ni JokaKuu na Mwita Maranya.... hawa wote mara nyingi kama sio zote huwa tunatofautiana lakini tunatofautiana kwa hoja na sio matusi!!! Sasa inakera mtu anavyoibuka from nowhere anaanza kukushambulia tena kwa matusi lakini hata ukimuonya bado anazidi.. come on geniviros, am not that good boy who can act like angel! Nikuambie kitu kimoja... in those old days I think I was a good boy, mtu hata akinitukana, namjibu "thanks God, I was raised by mom nd my mom would never accept me to react back with this...!" baada ya hapo, ningekula rundo la like... mwenyewe bichwa hilo!

Anyway, but thank you for your beautiful advice ila na wewe uache tabia ya kuingia Instagram na kuanza kumchamba Mange... just kidding but niitie Avemaria manake nimemshitukia... kumbe she's old friend of mine lakini akahamia mtaa wa pili bila kunijulisha!!!!!

Haya nimekuja NasDas habari yako?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha hapa umefanyaje hehehehe ntakuwa nakuita Mrs kitorondo ujue?shauri yako.

Hhhhhaaaa unajua unafanya makusudiu wewee,mrs kitorondo ni wema na zari,,umeona zari kaweka pic ya Domo kwenye page yake ya insta anamuombea kura
 
Ni kweli namkubali josee lakini kwan kaulizwa nani? ?

Mapenzi yasifunike ukweli..."when you are in love nothing is truth" - haya ndio yanayokuzonga my Dinazarde . yani ukipenda chako unekipenda hata kikiwa name doa utasema hapana ni kivuli tu sio doa. Haha sipati picha mtu akimkosoa mmeo unavyojikakamua kumtetea heheh yote hayawezi kuwa ya uongo ktk hayo yapo ya kweli
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenena...ila naomba sana usifananishe mziki wa huko US na huu mziki wetu usio na misingi wala kuheshimiana....kwa wenzetu ili uwe legend lazima uwe umefanya makubwa yasiyopingika mfano kuwa inacted ktk hall of fame ya partcular music genre mfano pop,rock,country nk na hao wanaoitwa legends kwel wanaheshimika kwa michango yao ktk huo mziki na jamii...mfano; Charlie Wilson,Michael Jackson,Aretha Franklin nk

Sasa tofauti kabisa na huku kwetu hakuna kuheshimiana,msanii anafanya mziki instagram kucha kutwa kutupiana vijembe na wanaotoka wanavimba vichwa na kudharau wengine nk
Usemayo ni kweli lakini mambo mengine ni sisi mashabiki ndio tunayakuza... unakuta mambo yameandikwa na Shigongo mashabiki tunayachukua kama yalivyo na kuamini kwa 100% kwamba hayo yamesemwa au kufanywa na msanii fulani na kinachofuata hapo ni mashabiki kuraruana... yaani hadi leo tunashindwa kabisa kuona wanachofanya akina Shigongo ni kutumia ujinga wetu ili wao watengeneze noti!!
 
Mapenzi yasifunike ukweli..."when you are in love nothing is truth" - haya ndio yanayokuzonga my Dinazarde . yani ukipenda chako unekipenda hata kikiwa name doa utasema hapana ni kivuli tu sio doa. Haha sipati picha mtu akimkosoa mmeo unavyojikakamua kumtetea heheh yote hayawezi kuwa ya uongo ktk hayo yapo ya kweli

Yaan mimi hata niambiweje kuhusu mume kafanya hiki au lile,,nakataajee,,,lakini nikirudi home tukiwa wawili kazi inaanzaaa,,sasaa mrembo wema akirudiana na dai nawe unampenda dai etiii
 
Last edited by a moderator:
Haya nimekuja NasDas habari yako?
Hahahahaa... nilitaka kuingia chamber nikakuta umepiga komeo na bonge la kufuri na onyo juu "This's User is Very Busy, Please Don't Disturb!" Sema duh, hivyo ulivyosalimia salimia utafikiri Mwalimi Mkuu wa enzi za Nyerere!!
 
Money maker mwenyewe huraaaaaaaaaaa waache sisimizi wakanyagane wewe ni Tembo hata ukimkanyaga atapotelea kwenye nyayo zako na hawezi acha hata alama ya mguu) BTP I lap u joseee ni Joseph na jozeee (in prof jayz voice).

Ukiguswa najua utaquote tu

ngoja nikoti
 
Hahahahaa... nilitaka kuingia chamber nikakuta umepiga komeo na bonge la kufuri na onyo juu "This's User is Very Busy, Please Don't Disturb!" Sema duh, hivyo ulivyosalimia salimia utafikiri Mwalimi Mkuu wa enzi za Nyerere!!

Kule siruhusu mtu kuingia mpaka aombe kibali. Itikia tu hivyohivyo hata kama ni ya kizamani!
 
Hhhhhaaaa unajua unafanya makusudiu wewee,mrs kitorondo ni wema na zari,,umeona zari kaweka pic ya Domo kwenye page yake ya insta anamuombea kura

Unampenda thebosslady?
Kampigie kura na yeye kuna mahali anacontest!
 
Yaan mimi hata niambiweje kuhusu mume kafanya hiki au lile,,nakataajee,,,lakini nikirudi home tukiwa wawili kazi inaanzaaa,,sasaa mrembo wema akirudiana na dai nawe unampenda dai etiii
Sijawahi kuwa na mapenzi Niue kwa diamond hata siku moja ila pia simchukii. Ukweli toka amrikodi Wema nilimpuuza kupita maelezo. Binafsi sipendi wanaume wadhalilishaji wasioheshimu wanawake (ambacho diamond anafanya pia) so obviously hata akimrudia Wema nitabakia tu kumthamini Wema (as nampenda sio kiushabiki). Kwa diamond atabaki tu kuwa binadam mwenzangu.
Hata zari siku yake itafika tu ya kudhalilishwa manake amejiingiza kwenye drama za watoto. Nilimpenda Sana nikijua anajiheshimu ila toka ashuke Tz kufanya drama na file lake nilipate bhaaas na yeye ni mdhalilisha wanaume. So two players make the playlist hahahah
Usipindishe Uzi mjadala ni wa Jose na diamond sitajibu tena OP. Namtndea haki jose
 
Back
Top Bottom