Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

umeona eeeh...!!!
mi ndo maana napuuzaga japo sometimes inakera kweli
geniveros, hayajawahi kukukuta best... hili jamvi tupo wote, kuna siku nitakuja kukuuliza "mbona leo hujapuuzia??!!" majuzi huyo jamaa kamuita mama angu malaya... just imagine, ugomvi upo JF anahusishwa hadi Bi Mkubwa ambae hata hiyo JF yenyewe haifahamu!!!! May be you've angelic elements lakini mtu anapofikia kunitukania hadi mama angu kwavile tu nimeongea jambo ambalo halijampendeza, that's too big heavy for me to handle! Na tangu ile siku nilishaamua sitakuja kum-quote tena kwenye posts zake lakini tena leo anaibuka from nowhere na kusema eti "nafi'rwa na Diamond....!"kisa tu nimesema
Sio mchanga lakini hapa anaonesha ni immature coz' kuomba collabo haina maana kwamba aombae ni mchanga au hawezi kusimama peke yake... huu ni ushamba na ulimbukeni coz' sitaki kuamini kwamba hadi anaingia kaburini hatakuja kumshirikisha msanii yoyote East Africa achilia mbali Afrika!! Mtu unaweza kuwa legend lakini bado ukafanya kazi na msanii aliye mdogo kwako kama ambavyo Professa J alipoamua kumshirikisha Diamond...
Hayo maneno nimemwambia mtu mwingine kabisa lakini mtu anaibuka from nowhere na kusema nitakuwa nabanduliwa na Diamond... Is there any correlation? Sasa kwavile yeye anataka shari, watu shari tunaziweza... tunamletea uungwana mtu anaye-act uungwana!!
 
Hizi fake ids raha yake ni kwamba unaweza ukawa unatukanana na Mshua au Mtoto wako. au unaweza kukuta mtu mwenye miaka 40+ unajibisha na kitoto cha U-18 Mhimu ni kuwa wavumilivu tu

True wengine wanaona sifa Sijui wanataka wasifiwe ni upuuzi mtupu na kutojielewa bora kuchukulia simple mambo yaende
 
.... followers instagram about 35,000 lakini baada ya ku-mingle na Diamond number ika-shoot na kufika above 50K in two weeks!!!

You can temper with those statistics...because there is no way you can cross check all 50K usernames leave alone 5K.
Hizo za Instagram zisikutishe.
 
Kupishana kauli wangu mbona kawaida sana... tena nikupe siri moja manake tumefahamiana hivi majuzi tu... suala la kupishana kauli kwangu nimeshalizoea sana tu... huku celebrities mie nakujaga kucheki watoto wazuri kama nyinyi tu lakini jukwaa langu ni la siasa... kule sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu kwavile mawazo yangu yapo too independent... leo nitakufurahisha kesho nitakuboa! Na ajabu zaidi, watu ambao mara kwa mara huwa na-mingle nao humu jamvini ni JokaKuu na Mwita Maranya.... hawa wote mara nyingi kama sio zote huwa tunatofautiana lakini tunatofautiana kwa hoja na sio matusi!!! Sasa inakera mtu anavyoibuka from nowhere anaanza kukushambulia tena kwa matusi lakini hata ukimuonya bado anazidi.. come on geniviros, am not that good boy who can act like angel! Nikuambie kitu kimoja... in those old days I think I was a good boy, mtu hata akinitukana, namjibu "thanks God, I was raised by mom nd my mom would never accept me to react back with this...!" baada ya hapo, ningekula rundo la like... mwenyewe bichwa hilo!

Anyway, but thank you for your beautiful advice ila na wewe uache tabia ya kuingia Instagram na kuanza kumchamba Mange... just kidding but niitie Avemaria manake nimemshitukia... kumbe she's old friend of mine lakini akahamia mtaa wa pili bila kunijulisha!!!!!

hahahaaaaas nimemsaidi mrs arsene wenger na analyis kumchamba CHAMPAKU Mange anaetaka watu wamuone mungu mtu
nimekuelewa mine ngoja niende kwa mavoko
 
Last edited by a moderator:
geniveros, hayajawahi kukukuta best... hili jamvi tupo wote, kuna siku nitakuja kukuuliza "mbona leo hujapuuzia??!!" majuzi huyo jamaa kamuita mama angu malaya... just imagine, ugomvi upo JF anahusishwa hadi Bi Mkubwa ambae hata hiyo JF yenyewe haifahamu!!!! May be you've angelic elements lakini mtu anapofikia kunitukania hadi mama angu kwavile tu nimeongea jambo ambalo halijampendeza, that's too big heavy for me to handle! Na tangu ile siku nilishaamua sitakuja kum-quote tena kwenye posts zake lakini tena leo anaibuka from nowhere na kusema eti "nafi'rwa na Diamond....!"kisa tu nimesema
Hayo maneno nimemwambia mtu mwingine kabisa lakini mtu anaibuka from nowhere na kusema nitakuwa nabanduliwa na Diamond... Is there any correlation? Sasa kwavile yeye anataka shari, watu shari tunaziweza... tunamletea uungwana mtu anaye-act uungwana!!

ya nimekuelewa mine hamna mwenye moyo wa mitume na manabii sometimes unakisanua tuuu
km noma na iwe noma
 
You can temper with those statistics...because there is no way you can cross check all 50K usernames leave alone 5K. Hizo za Instagram zisikutishe.
Ku-temper hapana labda sema kwamba kuna uhakika gani kwamba wote hao wali-join baada ya Zari ku-mingle na Diamond! However, there's an explanation to this as well! Binafsi, huwa nakataa kwamba Diamond huwa anatafuta kick kwa mademu lakini naamini mtu yeyote aki-mingle na Diamond basi anakuwa midmoni mwa media na social networks! Sasa basi, kwa makusudi, nikachukua followers wa Zari... the time nilipochukua followers wa Zari, alikuwa na roughly 36K followers na hii akaunti yake ina zaidi ya mwaka.... saying so, ina maana ndani ya mwaka mmoja, alipata followers 36K! Lakini ilipokuja issue yake na Diamond, number ika-shoot ghafla! Katika hali kama hiyo sijui unaweza kutoa explanation gani manake hapa tunapoandika, ana followers 52K plus!!!!
 
Ana tuhuma kaua mtu kwao Uganda, akishirikiana na mdogo wake
 
Mtu na mmemwenzie chamelon kala zari na domo nae kadumbukia humo kweli usikubali mchangie kila kitu
 
Hahaaaaa...hv huyu kenge wa Uganda yuko level gani...!!?
 
Money maker mwenyewe huraaaaaaaaaaa waache sisimizi wakanyagane wewe ni Tembo hata ukimkanyaga atapotelea kwenye nyayo zako na hawezi acha hata alama ya mguu) BTP I lap u joseee ni Joseph na jozeee (in prof jayz voice).

Ukiguswa najua utaquote tu
 
Mtu na mmemwenzie chamelon kala zari na domo nae kadumbukia humo kweli usikubali mchangie kila kitu

Hhhha kumbe anaumia eee kwan ana hatimiliki ya k ya zarii amuchieee Dai atafuneeee
 
Back
Top Bottom