Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hahaha tembo na sisimizi sio?
humo humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha tembo na sisimizi sio?
sawa, i understand...ngoja nijaribu kuitikia hiyo habari: mimi sijambo kabisa kabisa!!!Kule siruhusu mtu kuingia mpaka aombe kibali. Itikia tu hivyohivyo hata kama ni ya kizamani!
Mkuu Kiranga ile Homeland 4 ulipata wasaa wa kuiangalia? Kama bado, look for it... ilianza kwa kusuasua lakini walipofika episode 7, omg, am dying waiting for the next episode... I hate it's less than 15 episodes!!!!Miwani utasema fundi wa welding.
Haya nitafanya kama mkuu ulivyoshauri ili wazo la mpa mbafuuuuii liheshimiwe.... Thanks for your advice.....
Mkuu Kiranga ile Homeland 4 ulipata wasaa wa kuiangalia? Kama bado, look for it... ilianza kwa kusuasua lakini walipofika episode 7, omg, am dying waiting for the next episode... I hate it's less than 15 episodes!!!!
sawa, i understand...ngoja nijaribu kuitikia hiyo habari: mimi sijambo kabisa kabisa!!!
Sijawahi kuwa na mapenzi Niue kwa diamond hata siku moja ila pia simchukii. Ukweli toka amrikodi Wema nilimpuuza kupita maelezo. Binafsi sipendi wanaume wadhalilishaji wasioheshimu wanawake (ambacho diamond anafanya pia) so obviously hata akimrudia Wema nitabakia tu kumthamini Wema (as nampenda sio kiushabiki). Kwa diamond atabaki tu kuwa binadam mwenzangu.
Hata zari siku yake itafika tu ya kudhalilishwa manake amejiingiza kwenye drama za watoto. Nilimpenda Sana nikijua anajiheshimu ila toka ashuke Tz kufanya drama na file lake nilipate bhaaas na yeye ni mdhalilisha wanaume. So two players make the playlist hahahah
Usipindishe Uzi mjadala ni wa Jose na diamond sitajibu tena OP. Namtndea haki jose
Hili la wasanii wakubwa kuogopa kufunikwa na wasanii wadogo unanikumbusha Mr. Paul alipoamua kumshirikisha Inspector Haroun! Mr. Paul akafunikwa vibaya mno... baadae akaona isiwe taabu, akairudia nyimbo kwa kuondoa verse alizochana Inspector na kabaki na hii hapa [JFMP3]http://www.eastafricantube.com/media/55764/Mr_Paul_Feat_Inspecta_Haroon_-_Buzi_Remix/[/JFMP3]: Bob Brown na yeye, alishawahi kufanyaga tour akiwa ameambatana na Shabba Ranks, eti unafanya tour na mtu mwenye hii kitu:... ambacho kilifuata hapo ni maumivu kwa Bobby coz' badala ya watu kuchizika na mwenye tour wakawa wanachizika na mzamiaji!!!nimegundua wasanii wakubwa kufanya collabo wanaogopana,hapo kaogopa kufunikwa,wasanii hawajiamini,mi nadhani kila msanii ana mashabiki wake,hata kama moja atakuwa juu zaidi ila mashabiki wanajua kwamba kuna fleva flani huwezi kupata kwa msanii flani,kila msanii ana fleva yake
Hivi ni kweli Dai amemkula bosslady???
Mweeee mbona siamini amini!!
Hili la wasanii wakubwa kuogopa kufunikwa na wasanii wadogo unanikumbusha Mr. Paul alipoamua kumshirikisha Inspector Haroun! Mr. Paul akafunikwa vibaya mno... baadae akaona isiwe taabu, akairudia nyimbo kwa kuondoa verse alizochana Inspector na kabaki na hii hapa [JFMP3]http://www.eastafricantube.com/media/55764/Mr_Paul_Feat_Inspecta_Haroon_-_Buzi_Remix/[/JFMP3]: Bob Brown na yeye, alishawahi kufanyaga tour akiwa ameambatana na Shabba Ranks, eti unafanya tour na mtu mwenye hii kitu:... ambacho kilifuata hapo ni maumivu kwa Bobby coz' badala ya watu kuchizika na mwenye tour wakawa wanachizika na mzamiaji!!!
Nimeghairi kuendelea kujifanya mstaarabu wakati mtu mwenyewe nimezaliwa na kukulia ushenzini na hadi sasa naishi ushenzini!! Kuna watu wao kila siku silika yao ni matusi... sasa kwangu nimeshasema BIG NO... enough is enough... haitatokea hata siku moja nianze kumtukana au kumtolea mtu maneno machafu lakini akinianza nitampa onyo na akiendelea, my signature says it all and am prepared for anything! Labda nipeleke kwa Gwajima nikaombewe!!!!Vizuri.
Halafu kijana mbona we unalamba ban sana....kulikoni?
Haya nitafanya kama mkuu ulivyoshauri ili wazo la mpa mbafuuuuii liheshimiwe.... Thanks for your advice.....
Mtu na mmemwenzie chamelon kala zari na domo nae kadumbukia humo kweli usikubali mchangie kila kitu
Nimeghairi kuendelea kujifanya mstaarabu wakati mtu mwenyewe nimezaliwa na kukulia ushenzini na hadi sasa naishi ushenzini!! Kuna watu wao kila siku silika yao ni matusi... sasa kwangu nimeshasema BIG NO... enough is enough... haitatokea hata siku moja nianze kumtukana au kumtolea mtu maneno machafu lakini akinianza nitampa onyo na akiendelea, my signature says it all and am prepared for anything! Labda nipeleke kwa Gwajima nikaombewe!!!!
KUna sehemu huwa huwa unaona nazikomalia kivipi?? Kwanza huwezi hata mara moja kunikuta na-quote message isiyonihusu nikaanza kutoa lugha chafu... popote nilipotoa lugha chafu lazima, I REPEAT, LAZIMA Mtu atakuwa ameni-quote tena wakati mwingine kwa message ambayo wala hujamwandikia yeye na wala si ya kumchukiza yeyote lakini bado anao-opt kuku-quote na kukutukana.... unamkanya kuacha matusi lakini bado anaendelea, come on... am not that good guy!!! Siwezi kujifanya muungwana kiasi hicho ili mradi tu nionekane muungwana wakati moyoni naumia!! And you know what, kama hayajakukuta ni rahisi sana mtu kusema kama unayosema lakini trust me, siku yakikukuta utakuwa mtu mwingine... humu jamvini kuna watu nawakubali... siwafahamu but they seem to be very decent lakini kuna siku nimeshawahi kuwashuhudia ustaarabu umewashinda... mtu anaibuka tu from nowhere anaanza kukutukana... ombea tu yasisikukute lakini inakera!! Wapo watu ambao hata wakikutukana unaweza kujiuliza kulikoni, labda tu huyu leo ameamka vibaya au kweli umemkera lakini kuna wengine hiyo ndo kazi yao... yaani unajua kabisa kwamba ana bifu na wewe kwahiyo akikukuta, iwe umetaja yeye au hujamtaja, lazima akutukane!! Mimi ni mwanaume niliyekamalika idara zote... kwahiyo hawezi mtu kuibuka from nowhere halafu aseme naf'irwa na Diamond halafu eti nipotezee tena mbaya zaidi, wakati ameshasema tena hivyo siku chache tu ziizopita wakati hujamfanya chochote!!!!Inaonesha umejidhatiti kwa hilo.
Kwa mtazamo wangu it does not sound kwa sababu kuna sehemu zingine huwa nakuona unakomaa tu unnecessarily ilhali ulitakiwa upite kama hujaona vile.
Ok....its your life/choice anyway!