Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Hahaaa,kwa chameleon hapana.

Hajaishiwa kiasi hicho.

Tubonge.
 
Muuza Sura

Huyo niliyemwakia hapo juu mara kibao sana alikuwa ananitukana lakini nilikuwa nampotezea hadi siku nilipomwambia leo mwisho... mtu akinizingua hata baada ya kumkanya, simwachi na huwa siangalii jinsia!! Nazungumza hilo la jinsia coz' jamvi la celebrities limejaa mademu na wana lugha chafu ajabu lakini ukiwakanya inakuwa ndo kama umewaambia wazidishe... ukiwageuzia kibao utawasikia "mwanaume mzima unagombana na mademu...!" utafikiri wao ndo wamepewa leseni ya kuwatolea wenzao maneno machafu!!!

Hahahaha dah pole aisee
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuwa na mapenzi Niue kwa diamond hata siku moja ila pia simchukii. Ukweli toka amrikodi Wema nilimpuuza kupita maelezo. Binafsi sipendi wanaume wadhalilishaji wasioheshimu wanawake (ambacho diamond anafanya pia) so obviously hata akimrudia Wema nitabakia tu kumthamini Wema (as nampenda sio kiushabiki). Kwa diamond atabaki tu kuwa binadam mwenzangu.
Hata zari siku yake itafika tu ya kudhalilishwa manake amejiingiza kwenye drama za watoto. Nilimpenda Sana nikijua anajiheshimu ila toka ashuke Tz kufanya drama na file lake nilipate bhaaas na yeye ni mdhalilisha wanaume. So two players make the playlist hahahah
Usipindishe Uzi mjadala ni wa Jose na diamond sitajibu tena OP. Namtndea haki jose

Nakuomba binamu ukimaliza ubize uje kule whatsapp puliziiii
 
Aah hiki kitu kinampunguzia heshima Jose kama hayupo level moja na Dai kwann umuongelee mbona dai hajawahi kusema kuwa kinyonga amemuomba collabo...!!

Namuheshimu sana kinyonga kwa mafanikio yake na umuhimu wake kwenye soko la muziki ila alichofanya kilitakiwa kifanywe na wapuuzi kama msanii mmoja hivi wa Tanzania...

Kinyonga ur too old for that
 
Back
Top Bottom