Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
10527275_1079955278685556_8741350883259619801_n.jpg

Msanii kutoka Uganda, Jose Chamelleone.

Msanii Jose Chameleone wa Uganda amekanusha habari zilizoandikwa mitandaoni kuwa amemuomba Diamond Platnumz kufanya collabo.

" Siko katika level ya kuomba collabo kihivyo, sio kwamba sina heshima yake (Diamond) ila hiyo sio sahihi na haiwezi kuwa hivyo. Nimekuwa nikifanya muziki kwa miaka 14 na mimi sio msanii mchanga wa kuhangaikia collabo" amesema Jose Chameleon.

Chanzo: EATV
 
nimegundua wasanii wakubwa kufanya collabo wanaogopana,hapo kaogopa kufunikwa,wasanii hawajiamini,mi nadhani kila msanii ana mashabiki wake,hata kama moja atakuwa juu zaidi ila mashabiki wanajua kwamba kuna fleva flani huwezi kupata kwa msanii flani,kila msanii ana fleva yake
 
Miwani utasems fundi wa welding.
nimeangalia wasanii wengi unakuta uvaaji mzuri ila miwani inaharibu mwonekano wote,kuna siri gani kwenye miwani?kuna watu hawapendezi wakivaa miwani?au pia inatakiwa uchaguaji wa miwani.
kibongo kama Rich Mavoko miwani haijawahi kumtoa,linex,n.k
 
Tena afadhali huu uzushi umeanzia huko huko Uganda vinginevyo wale wasioishiwa viroja wangekuja hapa na kusema Diamond anatafuta kick... jamaa wameshajua kwamba jina la Diamond linauza kwahiyo ukiandika chochote kuhusu Diamond lazima kitakua the talk of East Africa! Waganda wamemuona Zarinah akija Tanzania akiwa na followers instagram about 35,000 lakini baada ya ku-mingle na Diamond number ika-shoot na kufika above 50K in two weeks!!!
 
" Siko katika level ya kuomba collabo kihivyo, sio kwamba sina heshima yake (Diamond) ila hiyo sio sahihi na haiwezi kuwa hivyo. Nimekuwa nikifanya muziki kwa miaka 14 na mimi sio msanii mchanga wa kuhangaikia collabo" amesema Jose Chameleon. Chanzo: EATV
Sio mchanga lakini hapa anaonesha ni immature coz' kuomba collabo haina maana kwamba aombae ni mchanga au hawezi kusimama peke yake... huu ni ushamba na ulimbukeni coz' sitaki kuamini kwamba hadi anaingia kaburini hatakuja kumshirikisha msanii yoyote East Africa achilia mbali Afrika!! Mtu unaweza kuwa legend lakini bado ukafanya kazi na msanii aliye mdogo kwako kama ambavyo Professa J alipoamua kumshirikisha Diamond...
 
shikamoo chamelion ulimkalisha dadamond kwenye show ya shigongo ye mwenyewe anakuogopa vibaya sana
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ushaona eeh,jamaa funiko sio wakuomba kolabo huyu.
Kuomba kolabo haina maana kwamba hujui au ni msanii mdogo... unaweza kuomba kolabo kwa ajili ya kuchanganya ladha au kuteka soko la eneo fulani ambako unaamini mwenzako (hata kama ni mdogo kwako) anakubalika zaidi kuliko unavyokubalika wewe!!!
 
Tena afadhali huu uzushi umeanzia huko huko Uganda vinginevyo wale wasioishiwa viroja wangekuja hapa na kusema Diamond anatafuta kick... jamaa wameshajua kwamba jina la Diamond linauza kwahiyo ukiandika chochote kuhusu Diamond lazima kitakua the talk of East Africa! Waganda wamemuona Zarinah akija Tanzania akiwa na followers instagram about 35,000 lakini baada ya ku-mingle na Diamond number ika-shoot na kufika above 50K in two weeks!!!

Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom